MAMA POROJO
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 4,974
- 785
mfumuko wa bei kenya asilimia 19, uganda 30 na Tanzania 17 ni tatizo la wote lakini serikali inafanya juhudi kupambana na tatizo hili
wapuuzi hawa!!wanazuia malipo kwa njia dola
bange......inapikwa kama chai!!Hiyo glass hapo kwenye meza ni kinywaji gani anatumia huyu mkulu?