Kikwete On TBC1: Aongea na wazee wa mkoa wa Dar

Huyu Hashimu mbita anafungua mjadala kwa kuwakaribisha wazee wote wa ccm ndani ya Dar na anasema
kunaujumbe watapewa kutoka kwa mkulu
 
jamaani watanzania eti kikwete anaongea na wazee wa dar afu mzee alokaribiswa kutoa salamu anasalimia ccm hoyeeeee,,,aibu kinoma wakati anajitambulisha kua yeye ni makamu wa mwenyekiti wa wazee wa dar....mmmh ndo uchuro gani huu

hakuna aliyepiga gwanda la cdm?
 
afadhali wamechukua umeme wao.......sitaki hata kuona katuni yake mimi!!
 
Haya sasa mzee wa kaya anaanza kuongea na hawa wazee na makofi kibao....nahisi hapa kunamipasho kuhusiana na katiba mpya
 
Anasema anawashukuru wazee wa dar,kwa nini asiseme wazee wa CCM,ameanza kusema Uvasco dagama wake kuwa alikuwa Australia na mwishon mwa mwez huu atakuwa Bujumbura
 
Nona wanapiga makofi hata kabla hajasema kitu mkuu sasa sijui wameelekezwa hivyo. Mimi nilidhani watatumia siku hii kuomba madai yao ya EAC na waelezee masikitiko yao jinsi wanavyomwagiwa maji ya upupu wakiwa wanafuatilia haki yao hiyo. Vile vile wasisahau kukumbushia ahadi hewa ya matibabu bure ambayo ni kiini macho mpaka leo.
 
Kikwete anasema anaongea na wazee wa dar kupitia kwao aongee na watanzania?napata kigugumizi hapa kama ni hivyo mbona salamu zota za kimagamba?afu eti agenda ni masuala ya uchumi na katiba....bwe
 
Anasema leo atazungumzia vitu viwili, uchumi na katiba.....na sasa anaanza kwa kuuchambua uchumi wa dunia
 
Back
Top Bottom