Kikwete On TBC1: Aongea na wazee wa mkoa wa Dar

Anasema nchi hii imepiga maendeleo makubwa sana ndani ya miaka hii 50....anasema zamani watu walivaa kaniki
 
katiba imelilea taifa letu na kuwa na amani lakini tusiipuuze tupate katiba inayofanana na wakati uliopo
 
Anasema katiba ya sas ni nzuri,anasema maendeleo yamekua,zamani watu walikuwa wanavaa kaniki,anasema nyumba zlikuwa zina makuti
 
Anasema nchi hii imepiga maendeleo makubwa sana ndani ya miaka hii 50....anasema zamani watu walivaa kaniki
sasa hivi wanavaa nguo halafu wanasomea hapa..........hatua kubwa hiyo!!
attachment.php
 
Anasema pamoja na mazuri ya katiba hii....pia ameona si mbaya tukaiboresha katiba hii ili iendane na miaka 50 ya uhuru
 
anaelezea ahadi yake ya katiba sasa,kwamba aliahidi kwamba mchakato soon ingeanza,kwamba tunaitaji katiba tena ya miaka 5o ijayo
 
Back
Top Bottom