mtoto wa mjini
JF-Expert Member
- Jan 18, 2010
- 1,754
- 896
Buchanan bana,umewasha moto wafia dini mapovu yanawatoka Kama mazezeta
JK nae
uzi wa kitambo umeukumbushia leo
Huu uzi umenipa raha sana, kila anayechangia anavutia kwake. Mlokole anamponda mkatoliki kwa wivu, mwislam analalamika kuonewa na kuuponda ukristu, mkatoliki naye anakomelea msumari kwa kazi pevu iliyofanywa na wamisionari wa kikatoliki. Jf Ni Kisiwa Cha Burudani.