Kikwete: Nisingepewa Elimu na Kanisa ningekuwa nafanya biashara ndogondogo Chalinze!

....asilimia 90 jf mmejaa mbulula watupu kwa kujadili issue za kitoto... mwenzenu katimiza ndoto yake, je ww unayemkandia uko wapi? Nyie ndo mnashnda vijiweni mnapga soga alafu mnaishia kutamani maisha ya wenzenu....

Nahisi ww ndo hujiew
We r talking about the ----in president aiseee is jot just someone
Acheni ujinga aiseee
 
Nilijua Mtakimbilia huko! Na kujifanya ni Watu WA MSAMAHAMA ILI MFICHE MAOVU YENU!

...
Mnfnssssssssss!
Amaa kweli kuna watu wamefundishwa kuzitetea dini zao, hata kama ni dhahiri zina mafundisho ya kishetani. Hata hivyo tuende taratibu tu, hauna haja ya kutokwa mapovu kwa ishu za kawaida kama hizi. Hiyo dini yako nadhani tu haujaamua kujihohi kama kweli mafundisho yake yana mtazamo wa ki-Mungu, labda kwa kuwa huwa hatuhoji imani. Lakini nakuhakikishia, kama you took your time to query some issues in the Quran, you probably would have converted, or at least, stopped going to masjid!
 
Kwa mujibu wa Dr. Ngowi wa University of Bagamoyo aliyealikwa katika kipindi cha malumbano ya hoja. Anasema alisomea shule za seminari na kutumia jina la Samwel Luhanga na baadaye ndipo akatumia jina la Jakaya Mrisho Kikwete. Tuna mengi ya kujifunza.

Hongera Samwel Jakaya Kikwete


Chanzo: ITV malumbano ya hoja

Hiyo Ngowi imetoka wapi tena jamani? Tulitambulishwa anaitwa Dr Henry Kasoga from University of Bagamoyo. Ok jina si ishu.Ishu hapa ipo kumbe Rais wetu jina lake halisi ni Samwel Luhanga.Waliotutangulia kumbe wanajua mengi kuhusu wakubwa wetu.Kama sasa alisoma shule hizo,Swali, kwanini Rais wetu lugha inampiga chenga sana?Anaokoteza maneno ya Kiingereza.Mimi binafsi huwa najisikia kigagasi sana ninapomwona JK anaongea kiingereza cha kuunga unga.
La mwisho huyu Dr awe makini na kina Ramadhan wa TISS kwa kutoa siri hii kwa watanzania.
 
Kwa mujibu wa Dr. Ngowi wa University of Bagamoyo aliyealikwa katika kipindi cha malumbano ya hoja. Anasema alisomea shule za seminari na kutumia jina la Samwel Luhanga na baadaye ndipo akatumia jina la Jakaya Mrisho Kikwete. Tuna mengi ya kujifunza.

Hongera Samwel Jakaya Kikwete


Chanzo: ITV malumbano ya hoja

Mimi sioni tatizo, kama uko kwenye pilika za kutafuta life, kila mtu ana njia zake. tumpe pongezi sana samweli wetu hehehe
 
Amaa kweli kuna watu wamefundishwa kuzitetea dini zao, hata kama ni dhahiri zina mafundisho ya kishetani. Hata hivyo tuende taratibu tu, hauna haja ya kutokwa mapovu kwa ishu za kawaida kama hizi. Hiyo dini yako nadhani tu haujaamua kujihohi kama kweli mafundisho yake yana mtazamo wa ki-Mungu, labda kwa kuwa huwa hatuhoji imani. Lakini nakuhakikishia, kama you took your time to query some issues in the Quran, you probably would have converted, or at least, stopped going to masjid!

........Ni kitabu kilichojaa ulaghai chuki na kihamasisha ugaidi na kuminya haki za wanawake.
 
Hivi kwa elimu gani mliyonanyo nyie wagalatia mpaka mtishie iwe mfano kwa wengine? Mngekuwa na elimu nchi ingekuwa imepiga hatua na maendeleo yangeonekana,mnachojua ni kuiba tu na kuifilisi nchi mpaka imedumaa, nafasi zote nyeti mmekaa nyinyi toka enzi za Baba yenu wenu wa taifa,sijaona mnachoweza kujivunia zaidi ya kuvaa suti na kwenda chooni kujisaidia haja kubwa bila kuchamba,

Tatizo sio UKRISTO!Tatizo ni CCM!Hawana VISION wala MISSION kwa ajili ya nchi hii.Na nafikiri tukitaja CCM unajua tunasema nani!

Sekretariate ya Chama Cha Mapinduzi (CCM),
1. Mwenyekiti - Jakaya Kikwete - Muislamu
2. Katibu Mkuu - Abdulrahman Kinana - Muislamu
3. Naibu Katibu Bara - Mwigulu Nchemba - Muislamu
4. Naibu Katibu Viziwani - Vuai Ally Vuai - Muislamu
5. Katibu Itikani na Uenezi - Nape Nnauye - Muislamu
6. Katibu wa NEC Siasa na uhusiano - Asha Migiro - Muislamu
7. Katibu wa NEC Uchumi na Fedha - Zakia Meghji - Muislamu
8. Katibu wa NEC Oganizesheni - Mohamed Seif Khatib - Muislamu

Tukija kwenye serikali nyadifa zote muhimu zimekamatwa na waislamu
1. Rais wa Nchi - Muislamu
2. Makamu wa Rais - Muislamu
3. Jaji Mkuu - Muislamu
4. Mkuu wa Usalama wa Taifa Muislamu
5. Mkuu wa Polisi - Muislamu
6. Waziri wa Ulinzi (wizara nyeti na muhimu) – Muislamu
7. Rais wa Zanzibar muislam
8. Makam wa Rais Zanzibar wote ni waislam

Au unataka kutuaminisha kuwa hawa wote ni kama SAMWELI LUHANGA(Sammy wa ukweeh!)
 
Nitakusaidia kwa kukujibu kwamba unaposoma seminarini sana huwa Unatumia jina lako yaani la ubatizo na lako la nyumbani,na majina mengi ya mapadri unayoyasikia ni yao ya nyumbani kwani ndiyo hutumika sana seminarini!
Mkuu mbona ujanisaidia ebu nitajie jina la baba yake mzazi Padre Slaa.
 
nadhani tusiende haraka, inawezekana pia Uncle Sam akahojiwa na kuweka ukweli wazi. Pia tukijua primary,sekondari nk alikosoma ndo ukweli waweza kuwekwa wazi,ila tofauti na majina sioni tatizo lolote la mh Samwel Luhanga kubadili majina ili aweze kutimiza ndoto yake. Ujue majina ni identification mark ila personality inabaki kuwa yeye kama yeye,Hongera sam.
 
Hivi unajuwa kama hii ni lugha ya makafir? Ni kwa nini usitumie lugha ya Allah wewe unaendelea kuwatukuza makafir hadi kwenye lugha?
Nimewaumba makabila mbalimbali na lugha mbalimbali ili mpate kufahamiana, haya maneno yanatoka ndani ya Quran, makafiri hata waarabu wapo makafiri, tatizo lenu mnakuwa na akili kama nyumbu mnadhani kila muarabu ni Muislam? Yesu alikuwa anaongea lugha gani na wewe muhaya unaongea lugha gani.
 
We mpumbav.u pale ni sehemu isiyo takiwa NAJIS yaani pale mklisto myahudi etc hawaruhusiwi kukanyaga actually 30 kms pande zote za KAABA hawaruhusiwi kukanyaga...for more google kama umeishiwa bundle niambie nikutumie hela we wa kubanya

Teh teh teh mkuu Ahmed deedat unenichekesha sana.
 
Nchi hii ingekuwa na waandishi makini wangeenda pale shuleni aliposomea au kwa kardinali pengo kufukua stori
 
Back
Top Bottom