Kikwete: Nisingepewa Elimu na Kanisa ningekuwa nafanya biashara ndogondogo Chalinze!

Jephta2003 Ni uzushi,kikwete O level alisoma kibaha sec school na A level alikuwa Tanga school,hayo yanayosemwa ITV na huyo mzee sijui yametoka wapi,huenda anazungum

Kwa umri wa JK ulivyo hivi sasa ni lazima alisoma primary darasa la 1 - 4 (Mtihani) then Upper middle school 5 - 8 (Mtihani) halafu Secondary School 9 - 12 ndio hiyo Kibaha (Mtihani) na A level akamalizia Tanga

Hivyo basi ukitaka kujua hilo jina alilipata wapi basi inabidi urudi kwao ambako kiuhalisia ni sehemu za karibu ya Miono or Miono penyewe, Miono pale kuna historia ya Kanisa la kwanza kujengwa Tanganyika na wakoloni (kama nimekosea mnirekebishe) na hawa wakatoliki walikuwa wanapenda sana kujenga kanisa na shule za primary kwa pamoja na nina wasiwasi sana ingawa sina uhakika shule ambayo sasa ni Lugoba Secondary naona inahusika moja kwa moja na Mr Sam Luhanga.. nina jamaa zangu huko Miono wana historia ya majina kama Mr Sam na wanatumia majina yao vizuri tu na ukiwauliza mbona ndugu zao ni waislam? watakupa jibu kuwa walifuata elimu/shule tu na si vingenevyo, Nafikiri huyu mzushi aliyevumbua jina hilo lazima atakuwa amefanya utafiti na upembuzi yakinifu (kama barabara za magufuli) maeneo ya shule za primary kule Miono na Lugoba
 
Last edited by a moderator:
Hata Rais Wa Marekani his excellence Barrack Hussein Obama alisoma huko Indonesia na Hawaii akiwa na baba wa kambo!! alitumia majina ya muda.

Bill Clinton was born and his given name was William Jefferson Blythe IV.He never knew his father William Jefferson Blythe III.Bill took the name William Jefferson Clinton after his mother remarried Roger Clinton.Kwa hiyo alitumia jina baba wa kambo Clinton badala ya Blythe.
 
Ni uzushi,kikwete O level alisoma kibaha sec school na A level alikuwa Tanga school,hayo yanayosemwa ITV na huyo mzee sijui yametoka wapi,huenda anazungumza tu kwa kuwa halipii kodi mdomo wake,ndio maana walimzimia kipindi baada ya kuona anazungumza uongo

- ITV nao sometimes ni binadam wasiokuwa na shukrani unajua kumbe Rais akiwa mstaarabu na mpole hivi ndivyo inavyokuwa? Haya ngoja anayekuja uone kama mtarudia haya mambo ya kijinga, wananchi wanahaha na bei ya umeme wao wanapoteza muda na jina la Rais alilotumia Shule ambayo hakusoma inasikitisha sana!!

Le Mutuz
 
unadhani waarabu wangekua na shule wakati huo wakristo wangesoma? au Nyerere angepokonya seminary za kiislamu kama zingekuwepo na kufanya za serikali si ingekua mabomu ya kujilipua kila kukicha hapa. hongera Nyerere

Sipendi kujadili udini sana,ila najaribu kutafakari ni nchi ngapi zenye idadi kubwa ya waislamu au zinazoongozwa na waislamu zina democrasia na amani Africa kwa sasa!
Naungana na jamaa mmoja laiyesema...ADUI WA UISLAMU NI WAISLAMU WENYEWE!!!
Make hata wakikaa pamoja hupingana wao kwa wao!!
 
- ITV nao sometimes ni binadam wasiokuwa na shukrani unajua kumbe Rais akiwa mstaarabu na mpole hivi ndivyo inavyokuwa? Haya ngoja anayekuja uone kama mtarudia haya mambo ya kijinga, wananchi wanahaha na bei ya umeme wao wanapoteza muda na jina la Rais alilotumia Shule ambayo hakusoma inasikitisha sana!!

Le Mutuz

mmiliki wa ITV si unamjua ni mfuasi wa CHADEMA halafu anajifanya kada wa CCM! huyu mzee anajifanya mzalendo kumbe fisadi PAPA.na vitalu vya gesi hapati ng'o bora tuwape wawekezaji wa nje!
 
Kweli ma friend ni balaa sana manake tuna vihio wengi sana nnchini watu wameunga unga sana na ndio maana pia tuna viongozi wa ajabu ajabu!
 
Ha ha ha....Sammy Cool ndio habari ya mujini..

KUUUMBEEEE !!!!!! nimejua tatizo kubwa la Tanzania ni kuwa viongozi wake wengi ni watu wakughushi vitu , wanaanza kughushi majina , mikataba mpaka elimu zao. Wooote ni kimya hakuna wa kumnyooshea mwezake kidole maana ni mabumashi , wasanii watupuuuuu !!!!!
 
Wakati ule shule za kiislamu zilizokuwepo, zilikuwa zinatoa elimu duni, hivyo kupata elimu bora ilikuwa lazima uende kusoma shule za kikristu! Mzee wake JK alicheza kama Pele!
 
Tatizo sio UKRISTO!Tatizo ni CCM!Hawana VISION wala MISSION kwa ajili ya nchi hii.Na nafikiri tukitaja CCM unajua tunasema nani!

Sekretariate ya Chama Cha Mapinduzi (CCM),
1. Mwenyekiti - Jakaya Kikwete - Muislamu
2. Katibu Mkuu - Abdulrahman Kinana - Muislamu
3. Naibu Katibu Bara - Mwigulu Nchemba - Muislamu
4. Naibu Katibu Viziwani - Vuai Ally Vuai - Muislamu
5. Katibu Itikani na Uenezi - Nape Nnauye - Muislamu
6. Katibu wa NEC Siasa na uhusiano - Asha Migiro - Muislamu
7. Katibu wa NEC Uchumi na Fedha - Zakia Meghji - Muislamu
8. Katibu wa NEC Oganizesheni - Mohamed Seif Khatib - Muislamu

Tukija kwenye serikali nyadifa zote muhimu zimekamatwa na waislamu
1. Rais wa Nchi - Muislamu
2. Makamu wa Rais - Muislamu
3. Jaji Mkuu - Muislamu
4. Mkuu wa Usalama wa Taifa Muislamu
5. Mkuu wa Polisi - Muislamu
6. Waziri wa Ulinzi (wizara nyeti na muhimu) – Muislamu
7. Rais wa Zanzibar muislam
8. Makam wa Rais Zanzibar wote ni waislam

Au unataka kutuaminisha kuwa hawa wote ni kama SAMWELI LUHANGA(Sammy wa ukweeh!)

waziri mkuu muislamu
waziri ujenzi muislamu
waziri mwakyembe muislam
dah!
 
Wakati anakaribia kugombea urais wa Tanzania, Jakaya Kikwete, alihutubia mkutano wa hadhara pale Bagamoyo, Pwani na kulisifia sana Kanisa Katoliki nchini, akisema wao ndio waliompa elimu na kwamba kama si wao, basi yeye angekuwa kituo cha mabasi Chalinze akiuza biashara ndogondogo. Baadhi ya Waislamu hawakuipenda kauli hiyo......
Source: Rai, Alhamisi, Julai 23 - 29, 2009, uk. 17.
********************************************************
Hapa alikuwa anawapumbaza Wakristo ili wasishtukie mpango wake wa Mahakama ya Kadhi? Au alisema kweli yaliyotoka moyoni?

Mmmh, sidhani kama baba yake angeshindwa kumpeleka shule. Baba yake huyu mh. ni miongoni mwa ma DC wa Mwanzo kabisa Tanganyika
 
time for commercial break

4544551_799x533.JPG

Ha ha haaaa daaa mimelipenda sn ilo tangazo
 
Yani Nimecheka peke yangu tu..asee

Ila ajue amekashifu Dini nyingine....
 
Back
Top Bottom