Kikwete: Nisingepewa Elimu na Kanisa ningekuwa nafanya biashara ndogondogo Chalinze!

Hivi kama kweli mkuu wa nchi alisoma kwa jina la Samweli Luhanga, leo hii watani wake wanaweza kumwita kwa jina hilo? au wansubiri mpaka 2016 January?
 
Tutasikia mengi ndani ya utawala wa mkulu na hatimaye ukweli utajidhihirisha.
 
Mkuu unakosea sana kuleta kejeli kwenye mada nyeti. Jambo hili ni kubwa na linatishia umoja, amani na usalama wa kitaifa letu. Ni vema likajadiliwa kwa weledi ili wenye data watufahamishe ukweli ubainike, waliofanya makosa wakiri na sote tukubaliane kusonga mbele. MUNGU IBARIKI TANZANIA.
 
Huu uzi umenipa raha sana, kila anayechangia anavutia kwake. Mlokole anamponda mkatoliki kwa wivu, mwislam analalamika kuonewa na kuuponda ukristu, mkatoliki naye anakomelea msumari kwa kazi pevu iliyofanywa na wamisionari wa kikatoliki. Jf Ni Kisiwa Cha Burudani.
 
JF ni burdani
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom