fikirikwanza
JF-Expert Member
- Jan 25, 2012
- 7,452
- 3,073
Mungu ana namna nyingi za kusaidia watu, aliyesema chaguo la Mungu huenda alikuwa na maono zaidi ya mtu yeyote
jk chaguo la Mungu
Mungu ana namna nyingi za kusaidia watu, aliyesema chaguo la Mungu huenda alikuwa na maono zaidi ya mtu yeyote
Kani fedha za escrow zinahusiana nini na kauli ya Kilaini?aliyesema chaguo la mungu tayari amelipwa kwa kazi yake nzuri,escrow haikumpita kando
mkuu jk ana kansa hataweza kuhimili kampeniJK anawaumiza sana. Tunachohitaji Tanzania ni maendeleo na si majungu
Baada Ya Mungu Kumpendekeza Kikwete Awe Rais Wetu Kumbe Mungu Alitaka CCM ifie Mikononi Mwa Kikwete,alijua Kikwete Akiwa Rais Ndo Watanzania Watapata Mabadiliko Ya Kweli,mateso Yao,shida Zao Vyote Vitaisha,sasa Tunajiandaa Mwakani Kwa Safu Mpya Ikulu Rais:Wilbroad Silaha,waziri Mkuu:James Mabatini,waziri Wa Fedha Na Uchumi:Ibrahim Pumba.,waziri Wa Mambo Ya Ndani:John Nikunyuke,waziri Wa Ulinzi,Godbless Usilemae,karibuni Wadau Nanyi Mchangie Safu Inayoendelea Ya Serikali Ya Awamu Ya Tano,asante Sana Kikwete,kwikwikwikwikwikwikwi Tehehehehehe.
Asante J.K.., vituko vyako vinaing'oa CCM.., ubarikiwe.., najua unafanya kwa nia njema ili tujitambue na kuwang'oa CCM!