Kikwete ni mpango wa Mungu ili CCM ianguke

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
52,763
Reaction score
165,383
Kwenye maandiko matakatifu tunasoma kuwa, Mungu alimtumia Mussa kuwaokoa wana wa Israeli kutoka utumwani nchini Misri.

Wote tunajua kutokana na moyo mgumu wa Farao,haikuwa kazi rahisi ila mwisho wa siku mpango wa mungu ulitimia.

Nasi leo hii Farao wetu hapa ni CCM na mungu yule yule kaamua kufanya tofauti kidogo kwa kumtoa Mussa miongoni wa wanafamilia ya Farao(CCM) na huyu Mussa wa leo si mwingine bali ni Kikwete.

Mungu alijua kupitia Kikwete, CCM si tu itayumba, bali it will show its true colours na kuwapa wananchi fursa nzuri ya kuona uovu na mabaya ya CCM.

Napoandika haya,mpango wa mungu kumtumia Kikwete kuiangusha CCM unakaribia kutumia.

Only the great thinker will understand this.
 
It is absolutely true, what you have said.

Na huo utabiri utatimia very soon, kutokana na JK kuonekana kutotaka kutekeleza maazimio ya bunge ya kuwawajibisha wale 'wezi' wetu wakubwa waliokwapua mabilioni ya Escrow.

Hapo ndipo sasa watanzania pamoja na mamilioni ya wafuasi wa CCM watarealize kuwa kumbe viongozi wa CCM wanawatumia wao kama 'mabango ya matangazo' kwa kuwavalisha kanga, vitenge na fulana ili 'wao' vigogo watinge Ikulu, ili waende kuchonga 'dili za kiescrow' ambapo 'beneficiaries' wa dili hizo za mabilioni ya pesa za waTZ, wanakuwa kikundi kidogo sana cha watu wasiozidi 100 ndani ya chama tawala na serikali yake!
 
Mwenyezi mungu kaampa JK moyo mgumu ili yatimie.

Ana macho ila haoni na ana masikio lakini asikii.
 
Tatizo ni huku vijijini. Niko vijijjini huku Newala, jana nimemkuta jamaa mmoja amewakalisha wenzie, anawaeleza kuwa escrow ni mpango wa serkali kupanua mashule ya secondary kwa sasa serkaili imesaidia shule za tibaijuka. Hii ndiyo taabu inayochelewesha mabadiliko nchini. Nilipochunguza zaidi huyo jamaa, kumbe ni mjumbe wa serkali ya kijiji kwa chama cha haoho chechemeeeeeeee
 
ni wazi kwamba ccm sasa inaongozwa na mtu ambaye ana nia ya wazi au ya kificho ya kuigawa na baadae kuimaliza. Ni kiongozi aliyekulia kwenye chama lakini pia ndiye aliyeshindwa kuongoza taasisi hiyo kwa asilimia 85 ukilinganisha na wale ambao walianzia utumishi serikalini kabla ya kuwa marais.Ni kiongozi ambaye kakipasua chama na chama kimekuwa cha hovyo na hakina nidhamu na kila mtu anajiropokea na imekuwa kama wajenzi wa mnara wa babeli. Wengine wanasema ni chuki ambayo amedumu nayo baada ya Mwl Nyerere kumkataa na alidhamiria kuua muungano na baadae ccm yenyewe ili alipe kisasi kwa kuwa anajua katika ccm bado kuna watu wanaamini nyerere alikuwa sahihi. Pili ni jaribio lake la kuanzisha utawala wa kifalme kwa kuiingia familia yake nzima kwenye siasa kitu ambacho kimewachukiza sana vijana na hasa pale wanapomuona mtoto wa rais akiwa bilionea au trilionea wakati hana historia ya biashara.wana ccm amkeni chama chenu kinakufa taratibu na sumu yake inayokiua inasambaa mithili ya tezi dume.Ccm amkeni mfanye operesheni kuiondoa kansa hii
 
Kwenye maandiko matakatifu tunasoma kuwa, Mungu alimtumia Mussa kuwaokoa wana wa Israeli kutoka utumwani nchini Misri.

Wote tunajua kutokana na moyo mgumu wa Farao,haikuwa kazi rahisi ila mwisho wa siku mpango wa mungu ulitimia.

Nasi leo hii Farao wetu hapa ni CCM na mungu yule yule kaamua kufanya tofauti kidogo kwa kumtoa Mussa miongoni wa wanafamilia ya Farao(CCM) na huyu Mussa wa leo si mwingine bali ni Kikwete.

Mungu alijua kupitia Kikwete, CCM si tu itayumba, bali it will show its true colours na kuwapa wananchi fursa nzuri ya kuona uovu na mabaya ya CCM.

Napoandika haya,mpango wa mungu kumtumia Kikwete kuiangusha CCM unakaribia kutumia.

Only the great thinker will understand this.
Ni kweli mkuu,kikwete ni mpango wa mungu ktk kulikomboa Taifa hili toka mkononi mwa Zimwi ccm.ila wapo wachache miongoni mwetu watakao kuja kutambua ukweli huu wakishafukiwa kaburini, maana hawaamini kama Tanzania inawezekana bila zimwi ccm.
 
ni wazi kwamba ccm sasa inaongozwa na mtu ambaye ana nia ya wazi au ya kificho ya kuigawa na baadae kuimaliza. Ni kiongozi aliyekulia kwenye chama lakini pia ndiye aliyeshindwa kuongoza taasisi hiyo kwa asilimia 85 ukilinganisha na wale ambao walianzia utumishi serikalini kabla ya kuwa marais.Ni kiongozi ambaye kakipasua chama na chama kimekuwa cha hovyo na hakina nidhamu na kila mtu anajiropokea na imekuwa kama wajenzi wa mnara wa babeli. Wengine wanasema ni chuki ambayo amedumu nayo baada ya Mwl Nyerere kumkataa na alidhamiria kuua muungano na baadae ccm yenyewe ili alipe kisasi kwa kuwa anajua katika ccm bado kuna watu wanaamini nyerere alikuwa sahihi. Pili ni jaribio lake la kuanzisha utawala wa kifalme kwa kuiingia familia yake nzima kwenye siasa kitu ambacho kimewachukiza sana vijana na hasa pale wanapomuona mtoto wa rais akiwa bilionea au trilionea wakati hana historia ya biashara.wana ccm amkeni chama chenu kinakufa taratibu na sumu yake inayokiua inasambaa mithili ya tezi dume.Ccm amkeni mfanye operesheni kuiondoa kansa hii
Huwatakii mema watanzania wewe.Mnafiki
 
,, 'ccm wezi wa kura'
., 'ccm wezi wa kura'
,, 'ccm wezi wa kura'

ni wimbo vijana wa vingunguti nimewashuhudia wakiimba kuwazomea polisi.

Haihitaji degree kufahamu ufukunyoko wanaotufanyia.
 
Uko sahihi mkuu,hata mm nawambia jamaa kwamba hatuna haja ya kumlaumu jk ila anajaribu kuonyesha ukuu wa mungu. Hakika mungu anamtumia jk kuikomboa tz. Mungu ibariki tz
 
Na hili NENO litatimia...na kama halitatimia basi LITATIMILIZWA.!
 
Sasa kama huu ni mpango wa mungu, kushinikiza kuwa awa wajibishe wahusika si kwenda kinyume na mpango wa mungu?
 
Kiukweli Prof. ni mzalendo na ameazimia kuifutilia mbali ccm ila ana kibarua kizito. Alipoingia ikulu alianza kuwawajibisha majizi wenzie aliokuwa nao wakti wa mkapa ila walivoliangusha jembe lake (Lowasa) akaishiwa nguvu.

Je Unakumbuka alivyoanzisha mchakato wa katiba kimabavu wenzie hawakutaka, tena akawaambia ccm wajiandae na mabadiliko (ie serikali 3) Zote hizo ni juhud za kuhakikisha akiondoka na ccm inakwenda naye. Shughul ndio imeanza na zetu dua kwa prof.
 
ni wazi kwamba jakaya mrisho kikwete atahitimisha enzi ya chama kikongwe kabisa kisiasa afrika.Bwana huyu aliyekulia katika chama amekosa mbinu mujarabu za kujenga chama imara chenye nguvu na cha kisasa kinachojua mazingira yake. Ni chama ambacho ameshindwa kukidhibiti na kinaangamia mbele ya macho yake. Ni rais pekee ambaye amekoswa koswa na kashfa mbaya ambazo zimeiandama serikali yake,ufisadi na kujuana na kufanya siasa za visasi. Ni katika kipindi hiki ambapo wananchi hawana imani na utawala na hata rais mwenyewe.Nimemfananisha na Gorbachev aliyekuwa Rais wa urusi na ambaye alihitimisha ngwe ya Taifa lilolokuwa linaitwa USSR
 
Takbiiiiiiiiiiiiiir....
 
Attachments

  • 1418622130182.jpg
    1418622130182.jpg
    25.7 KB · Views: 486
Kwenye maandiko matakatifu tunasoma kuwa, Mungu alimtumia Mussa kuwaokoa wana wa Israeli kutoka utumwani nchini Misri.

Wote tunajua kutokana na moyo mgumu wa Farao,haikuwa kazi rahisi ila mwisho wa siku mpango wa mungu ulitimia.

Nasi leo hii Farao wetu hapa ni CCM na mungu yule yule kaamua kufanya tofauti kidogo kwa kumtoa Mussa miongoni wa wanafamilia ya Farao(CCM) na huyu Mussa wa leo si mwingine bali ni Kikwete.

Mungu alijua kupitia Kikwete, CCM si tu itayumba, bali it will show its true colours na kuwapa wananchi fursa nzuri ya kuona uovu na mabaya ya CCM.

Napoandika haya,mpango wa mungu kumtumia Kikwete kuiangusha CCM unakaribia kutumia.

Only the great thinker will understand this.
CC: Pasco

Baada ya kusoma bandiko lako ukikiri CCM kushindwa vibaya,naomba usome hii thread yangu ikupe majibu murua.

Karibu ndugu.
 
Last edited by a moderator:
Binafsi ningeshangaa sana kama matokeo yangeonesha tifauti. Rais hatulii nchini mwake, unategemea atapataje muda wa kushughulikia matatizo ya nchi yake kwa ufanisi?
 
Back
Top Bottom