Kikwete ni mpango wa Mungu ili CCM ianguke

Kikwete ni mpango wa Mungu ili CCM ianguke

1.Bila Kikwete CCM isingekuwa na hali ngumu kisiasa namna hii
2.Kikwete ni rais pekee anayeongoza kwa matukio ya ajabu kwenye serikali yake kama EPA, RICHMOND, ESCROW, Katiba pendekezwa ya ajabu ajabu, Serikali dhaifu n.k
Nakushukuru sana KiKWETE kwa kunisaidia kujua madhambi ya CCM na serikali yake.

Wewe unaonekana kabisa umeshakuwa brain washed to the point of no return. Itabidi makachero wakutafute mapema kwani your thinking is unrealistic and you may be a danger to our modern society
 
mwazoni jk nyota yake iling'ara sana na ilikuwa ni mategemeo ya wengi kuwa angeiweza nchi hii kuifikisha mahali tukamkumbuka kwa mazuri lakini masikini kumbe tutamkumbuka kwa kutuletea mpasuko kwa kila kada
 
Ujangili, Biashara Ya Sembe, Kutalii Duniani, Operasheni Tokomeza...
 
Wewe unaonekana kabisa umeshakuwa brain washed to the point of no return. Itabidi makachero wakutafute mapema kwani your thinking is unrealistic and you may be a danger to our modern society

Nipo Mabibo External nyuma ya Kanisa la R.C nyumba yangu inatazamana na Msikiti wa hapo, waambie waje.
 
Wewe unaonekana kabisa umeshakuwa brain washed to the point of no return. Itabidi makachero wakutafute mapema kwani your thinking is unrealistic adnd you may be a danger to our modern society
Makachero unadhani hawajui ukweli. They know, and wish we could know more. Uchafu wote wa system umevujishwa na Makachero wapenda nchi.
 
Nimesema mara nyingi kwamba CCM na serikali yake lazima ing'oke kwa sababu imepoteza Supremacy,tukumbuke hapa hakuna cha hooks wala crooks kubakia madakani hata wao wanajua nchi imewashinda.Majeshi yetu tunavyojua ni kwamba hayana chama sasa sijui ni lini majeshi yameanza uchama mpaka Kuwa kada kamili Kama ilivyo kwa jeshi la Polis.Tukumbuke kwamba nchi yetu imekubali democrasia hivyo ni vema Viongozi wa CCM na serikali yetu Vikaheshimu Democrasia na maamuzi ya watu,Sauti ya wengi ni Sauti ya MUNGU na tusidanganyike MUNGU huzungumza mara moja,Viongozi wa Dini,JWTZ na taasisi zenye mapenzi mema na nchi yetu waambieni CCM waziwazi bila kuwaogopa kuwa WIZI wanaofanya na mapingamizi ya kipumbavu wanayoweka dhidi ya wazalendo wa nchi hii wakishirikiana na jeshi la Pilisi ni dhambi itakayo litafuna TAIFA.Watanzania wamechoshwa naCCM iliyojaa kebehi na dharau na kilaaina ya WIZI.Watu watakubali uwaibie Mara moja lakini si kila siku.Watanzania tumeamua kuongeakupitia sanduku la kura likishindikana kwa sababu za wizi tutakwenda hatua nyingine ambayo ni nzuri kwa wezi.
 
bila kikwete na uongozi huu watanzania wasingeamka kiakili.hongera kikwete na uongozi wako.
 
Kwenye maandiko matakatifu tunasoma kuwa, Mungu alimtumia Mussa kuwaokoa wana wa Israeli kutoka utumwani nchini Misri.

Wote tunajua kutokana na moyo mgumu wa Farao,haikuwa kazi rahisi ila mwisho wa siku mpango wa mungu ulitimia.

Nasi leo hii Farao wetu hapa ni CCM na mungu yule yule kaamua kufanya tofauti kidogo kwa kumtoa Mussa miongoni wa wanafamilia ya Farao(CCM) na huyu Mussa wa leo si mwingine bali ni Kikwete.

Mungu alijua kupitia Kikwete, CCM si tu itayumba, bali it will show its true colours na kuwapa wananchi fursa nzuri ya kuona uovu na mabaya ya CCM.

Napoandika haya,mpango wa mungu kumtumia Kikwete kuiangusha CCM unakaribia kutumia.

Only the great thinker will understand this.

Ndugu Joseph Buberwa naomba niseme tu baada ya kusoma post yako kuhusu Raisi Kikwete na kukaidi maagizo ya mungu,nimeona ni bora nawe usome hii post yangu ya tarehe 13/12/2014 alafu ufanye ulinganisho na post yako ya leo hapa JF.

Ndugu,mi si nabii kama wewe unavyojiita,ila nasoma alama za nyakati na kuangalia ushahidi wa kimazingira tu na kufikia "conlusion" ambayo inaweza kuwa sahihi au isiwe sahihi pia.

Je,nini mawazo yako kuhusu huu mtazamo wangu?
 
Last edited by a moderator:
Kwenye maandiko matakatifu tunasoma kuwa, Mungu alimtumia Mussa kuwaokoa wana wa Israeli kutoka utumwani nchini Misri.

Wote tunajua kutokana na moyo mgumu wa Farao,haikuwa kazi rahisi ila mwisho wa siku mpango wa mungu ulitimia.

Nasi leo hii Farao wetu hapa ni CCM na mungu yule yule kaamua kufanya tofauti kidogo kwa kumtoa Mussa miongoni wa wanafamilia ya Farao(CCM) na huyu Mussa wa leo si mwingine bali ni Kikwete.

Mungu alijua kupitia Kikwete, CCM si tu itayumba, bali it will show its true colours na kuwapa wananchi fursa nzuri ya kuona uovu na mabaya ya CCM.

Napoandika haya,mpango wa mungu kumtumia Kikwete kuiangusha CCM unakaribia kutumia.

Only the great thinker will understand this.

me ninashukuru mungu tuu
 
Wana bodi.

Nachelea kusema kikwete ni chaguo la mungu na kaja kulikomboa taifa la tanzania/tanganyika. Mwanzo akiingia madarakani niliamini ni chaguo la mungu, baadae nikaikana kauli yangu na kumuona ni jini aliyekimbizwa peponi, ila sasa naamini nimebadilika na kurudia imani yangu ya mwanzo kabisa kabla hajawa raisi kuwa ni chaguo la mungu na ni mwokozi dhidi ya mkoloni mweusi. Majibu unayo usiniulize kwanini.

Hongera kikwete
hongera ccm
karibu tanganyika

Kwenye maandiko matakatifu tunasoma kuwa, Mungu alimtumia Mussa kuwaokoa wana wa Israeli kutoka utumwani nchini Misri.

Wote tunajua kutokana na moyo mgumu wa Farao,haikuwa kazi rahisi ila mwisho wa siku mpango wa mungu ulitimia.

Nasi leo hii Farao wetu hapa ni CCM na mungu yule yule kaamua kufanya tofauti kidogo kwa kumtoa Mussa miongoni wa wanafamilia ya Farao(CCM) na huyu Mussa wa leo si mwingine bali ni Kikwete.

Mungu alijua kupitia Kikwete, CCM si tu itayumba, bali it will show its true colours na kuwapa wananchi fursa nzuri ya kuona uovu na mabaya ya CCM.

Napoandika haya,mpango wa mungu kumtumia Kikwete kuiangusha CCM unakaribia kutumia.

Only the great thinker will understand this.
 
Mungu ana njia nyingi za kuwakomboa watu wake. Hata katika Biblia Mungu anasema njia zangu si njia zenu na mawazo yangu ni ya mbali sana ukilinganisha na ya mwanadamu. Wapo watu wengi walipinga msemo wa baadhi ya viongozi wa dini waliposema kuwa JK ni chaguo la Mungu. Lakini watu wengi walidhani kuwa kauli zile zilikuwa za viongoi wa dini waliozitoa, ukweli ni kuwa hata viongozi waliozitoa Mungu alitumia midomo yao bila wao kujua malengo ya Mungu wakatafsiri kuwa alikuwa mtu sahihi wa kuliongoza taifa hili. Mungu alimchagua JK ili afanye anayofanya kwa ajili ya kuikomboa nchi hii na utawala wa CCM, Mungu ameona dhuluma wanaofanyiwa Watanzania kila kona Mungu amechukia. Mungu ameona viongozi wengi wa CCM walivyomuasi Mungu na kutumainia miungu yao ya waganga wakienyeji Mungu amechukia, Mungu amewapa Watanzania rasilimali nyingi lakini chini ya CCM zimekuwa laana badala ya kutekeleza malengo ya Mungu, ameamua kuleta mapinduzi ya kuiondoa CCM kwa kuweka chaguo lake, si lisea Njia zangu si njia zenu wanadamu hakika ukombozi umekaribia.JK ni chaguo la MUNGU.
 
mkuu kilaini hii kauli yake sidhani kama ataweza kuirudia tena kwa jk alichokifanya kwa watanzania
 
Miaka 7 iliyopita Rev. Kishoka aliandika haya:

Katika hiki Kitab Alf Layla wa Layla, napenda kutoa shukrani kwa Mwenyezi Mungu, Subhana Wataala kwa kutupa Jakaya Mirisho Kikwete kuwa Raisi wetu.

We need to thank God for so much blessings to have Kikwete as man in charge.

Yes I have been critical of his leadership, I have mocked him, I have challenged him for his in-activeness and forgot that it was blessings in disguise from our Lord God!

Mungu ni wa ajabu sana, na nafikiri ni mapenzi yake tumepewa Kikwete awe kiongozi wetu. Ni mapenzi ya Mungu leo hii tupo hapa tukipiga kelele na baragumu tukitumia vinubi, zumari na tarumbeta kufukuta hasira zetu, vilio vyetu, aibu yetu na umoja wetu.

Si kwa mapenzi yake Jakaya Kikwete, bali ni mapenzi ya Mungu, kuwa yanayotokea sasa hivi, yalipangwa mapema na Mola.

Nasi tumkubali Jakaya Mrisho Kikwete kwa mapungufu yake yote, ukimya, uzembe, uvivu, uzubaaji, kutokuchangamka, kutokuwajibika na dhana kuwa analinda wale wahujumu. Mapungufu yake, ndiyo ngao na silaha yetu tuliyopewa na Mungu dhidi ya wale wenye kutaka kutufanyia dhuluma na kutuumiza.

Kuporomoka kwa Mawaziri wakubwa na mashuhuri wanne si mapenzi yake Kikwete, maana alitoa machozi. Lakini ni mapenzi ya Mungu leo hii nchi nzima si vilio kuhusu ufisadi tuu, bali mazungumzo ya kutaka uwajibikaji, mazungumzo ya kuimarisha ufanisi, na kulitakia Taifa letu maisha mema na Baraka za Mungu ndiyo yaliyotawala.

Tunataka mshikamano, tunataka uongozi madhubuti, tunataka tufaidi matunda ya utajiri wetu wa asili, uhuru wetu na matunda ya jasho letu bila kunyonywa, kudhulumiwa, kuonewa au kudhihakiwa.

Haya yote yasingetokea kama Kikwete wetu, mtalii, Vasco Da Gama, Sinbad, Chekacheka, Kisura asingekuwa madarakani.

Najiuliza je tungekuwa na mwamko mkubwa namna hii wa kutetea haki zetu kama tungekuwa chini ya Nyerere? Labda ungekuwako, lakini tungekuwa na woga.

Najiuliza je tungekuwa na ukali namna hii wakati wa Mwinyi, yawezekana, lakini bado tungekuwa na woga.

Najiuliza tena tungekuwa na uwezo wa kuchambua mambo muhimu kwa Taifa letu, kuishupalia Serikali, kutafuta ushahidi na hata kuimbua Serikali yetu wakati wa Mkapa? tungeweza, lakini angetupuuza na angetumia ujeuri na dharau zake kutokutusikiliza.

Sidhani kama Kikwete ni msikilizaji mzuri, ila ni baraka za Mungu kuwa kujivuta vuta kwake ambao wengine wamekuita Uyakhe yakhe, Ukwerekwere na Usaigon, ndio umetusaidia sana.

Yeye mwenyewe sijui kama analijua hili, lakini tafadhali sana wewe uliye mwakilishi wa Mheshimiwa Kikwete unayepita kuchungulia JF wamesema nini, mnapoamka Ijumaa hii na kujiandaa na Gwaride la Muungano, mwambie Mheshimiwa Raisi, tunamshukuru Mungu kwa kuwa yeye ni Raisi wetu.

Mapambano yetu bado hayajaisha. Tuendelee kutumia kudra, rehema na baraka hizi za Mwenyezi Mungu, kuendeleza Libeneke la kutaka uwajibikaji, ufanisi, umahiri kupiga vita Uhujumu, Uzembe, Dhuluma, Umasikini, Ujinga na Maradhi.

Kila jamii ina njia yake ambayo Mungu kawatengenezea. Njia yetu ya Ukombozi ni wakati huu wa ndugu yetu Muungwana akiwa Raisi!

Tutumie fursa hii kupigana na wale mahasidi wasiotutakia mema, tuendeleze shinikizo letu kwa viongozi wetu wawe watii wa sheria, walinzi wa katiba, wafuata haki na wanaothamini utu.

Through Jesus Christ our Lord, Amen, Amen, Amen
Through Muhamed our Lord, Amen, Amen Amen
By the Grace of Allmighty Lord, Amen, Amen, Amen

Mungu Ibariki Afrika, Mungu Ibariki Tanzania, Tubariki watoto wa Tanzania.
 
Ni kweli dhahri wakati JK anaingia madarakani,tatizo kuu la nchi lilikuwa ni UMEME wa uhakika!Ni ukweli dhahri kiongozi wetu anaodoka rasmi anatuachia tatizo lile lile 2005-2015.

ALHAMDULILAH CCM,INSHAALLAH.
 
Back
Top Bottom