Kikwete ni mpango wa Mungu ili CCM ianguke

Baada Ya Mungu Kumpendekeza Kikwete Awe Rais Wetu Kumbe Mungu Alitaka CCM ifie Mikononi Mwa Kikwete,alijua Kikwete Akiwa Rais Ndo Watanzania Watapata Mabadiliko Ya Kweli,mateso Yao,shida Zao Vyote Vitaisha,sasa Tunajiandaa Mwakani Kwa Safu Mpya Ikulu Rais:Wilbroad Silaha,waziri Mkuu:James Mabatini,waziri Wa Fedha Na Uchumi:Ibrahim Pumba.,waziri Wa Mambo Ya Ndani:John Nikunyuke,waziri Wa Ulinzi,Godbless Usilemae,karibuni Wadau Nanyi Mchangie Safu Inayoendelea Ya Serikali Ya Awamu Ya Tano,asante Sana Kikwete,kwikwikwikwikwikwikwi Tehehehehehe.

Slaa ana sifa ya kuongoza nchi hii? Ukisikia mzaha ndio huu sasa!..
 
wewe mtoto wa kike wewe,wewe,wewe,wewe si saizi yangu tafuta saizi yako wa kumtukana,ukirudia tena nitakuandama hadi ukimbie humu naona hunijui wewe mtoto.

Ni kweli kama huna busha la kichwani basi una la makalioni..haya anzisha tulianzishe mpaka kuche
 
mbona povu limekutoka sana umekunwa sehemu mbaya tulia dawa ikuingie vizuri
 
Ndo maana najisemea mwaka 2015 kunaweza kua historia tofaut kwa linchi langu tz
 
Mungu ana namna nyingi za kusaidia watu, aliyesema chaguo la Mungu huenda alikuwa na maono zaidi ya mtu yeyote
Alitamka Askofu Kilaini mwaka 2005, lakini sasa ndiyo watanzania tunaanza kupata ufunuo kuwa kumbe Askofu Kilaini alipata maono kuwa JK ni chaguo la Mungu la kuja 'kuinyonga' CCM ili chama kingine kishike madaraka, kama vile Gorbachev alivyoongozwa na Mungu 'kuinyonga' USSR na chama chake cha kikomunisti ambacho hakitambui existing of our almighty God!
 
Ni kweli kama huna busha la kichwani basi una la makalioni..haya anzisha tulianzishe mpaka kuche

Siwezi Kupoteza Muda Wangu Na Mitoto Ya Mitaani Isiyo Na Malezi Kama Wewe Na Ladypepeta,mama Zenu Walikuwa Makahaba Na Baba Zenu Vibaka Pale Tandale Ndo Maana Hamna Maadili Yoyote,kijana Wa Karne Hii Ukimuona Yupo ccm Hata Kama Ni Demokrasia Mtu Kuchagua Chama Ila Kwa Kijana Kuwa Ccm Akizeeka Lazima Awe Mchawi Hatari Au Chuma Ulete Balaa Kama Vile Vizee Vya Tabora Mjini,kwanza Hamnayo Hata Mishipa Ya Aibu Kushabikia Majitu Yaliyoongoza Nchi Kwa Miaka 53 Halafu Hakuna Maendeleo Na Bado Yanataka,nyie Mitoto Iliyokua Huku Ikinyonya Vidole Ni Majanga Tupu,halafu Mnatoka Familia Za Makada Wa Ccm Na Mmesoma Shule Zako,mbumbumbu Nyie Mnafika Hadi University Kiswa English Tu Kinawashinda Achilia English Ambayo Hata Walimu Wenu Wa UPE Hawajui,hebu Shikeni Adabu Watoto Wajinga Nyie,ma Kula Kulala,mngekuwa Na Familia Mnazitunza Njoo Mngeijua Ccm Inatoka Ukoo Gani Hapa Duniani Washenzi.
 
umetumia nguvu nying sana kumuua mende kwa jundo bwashee
 
Naona nimekuchanganya!..miandishi yote hiyo ya nini sasa? haya rusha ngumi hasira ziishe!
 
1.Bila Kikwete CCM isingekuwa na hali ngumu kisiasa namna hii
2.Kikwete ni rais pekee anayeongoza kwa matukio ya ajabu kwenye serikali yake kama EPA, RICHMOND, ESCROW, Katiba pendekezwa ya ajabu ajabu, Serikali dhaifu n.k
Nakushukuru sana KiKWETE kwa kunisaidia kujua madhambi ya CCM na serikali yake.
 
Back
Top Bottom