kajembejr
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 1,291
- 1,321
Kumbe UKAWW kuna wamba mipasho kiasi hiki! Pole sana ndugu. Kama ulikuwa unakaa kusubiri CCM imfie JK mmechelewa. Tingatinga linatinga Ikulu mchana kweupeeee!
mkuu tingatinga linakwenda ikulu tena?sasa hili tingatinga si litaendeshwa jamaani? kwa akili yangu dereva wa tingatinga ndie anaye lichagulia kazi tingatinga ama kwa kiswahili kizuri ndiye anaye liendesha tingatinga, daaaa nadhani Mh JK alivyo muita jamaa tingatinga aliona mbali sana, huyuu niwakuendeshwa endeshwa tu na zaidi haribuharibu tu. ..Mpaka sasa sijaona namna nzuri ya kwanini mumemuita huyu mgombea tingatinga?