Kikwete anaweza kusema alikuwa anatania tu kuweka sahihi!
ha ha ha ha mkuu wangu wozoza hapa umemaliza kila kitu. Jamaa atavunga tu kama alivyofanya kwenye issue ya buzwagi.
E bana, kama ulimsikia Tundu Lissu, kesi yake inasikitisha sana. Yaani jamaa wanafukia watu wakiwa hai, kisha mwanasheria anajaribu kufuatilia, jamaa kwa ukatili wanamuweka mwanasheria ndani kwa kudhani kuwa wataimaliza issue kinyemela kama ilivyo kawaida yao.
Ama kweli Kikwete huyu, mungu atamlipa tu.