Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,253
- 34,205
Ficha upumbafu wako.Hata Magufuli mtakuja kumuomba msamaha na kumtangaza shujaa wa taifa...muda ni muamuzi mzuri sana
Ficha upumbafu wako.Hata Magufuli mtakuja kumuomba msamaha na kumtangaza shujaa wa taifa...muda ni muamuzi mzuri sana
Always simama kwenye ukweli na sio unafikiFicha upumbafu wako.
Huo ndio ukweli mkuuKumbuka ule usemi "Yakale haya nuki" zama zikifika Magufuli ataombwa msamaha mara 100
Jamani mimi nachukua fursa hii kumuomba msamaha Mr. Jakaya Mrisho Kikwete nilikusema sana saa nyingine kupost habari zisizo juu yako yaani nisamehe sana.
Kama umemmiss huyu baba yake Ridhiwan plz neno moja kwake.
Nyerere pia aliitwa mchonga , hivyo hizo akili za akina Allen kilewella , kulalamika kila jambo tena pasipo na utaratibu.Hata Mwinyi alitukanwa sana, kuja Mkapa duuh
Kwani jk ndio kampitisha jiweFigisu zake na Luwasa ndio zilizosababisha kichaa kuokota rungu mwaka 2015 pale dodomA
Figisu ndio zilizosababisha Jiwe kuokota embe chini ya mnaziKwani jk ndio kampitisha jiwe