Kikwete nachukua fursa hii kukuomba msamaha kutoka ndani ya moyo wangu samahani sana

Wewe ni mnafiki ningekuwa nakufahamu ningekuhukumu kwa sheria ya Mussa unastahili kuchimbiwa shimo nakuzamishwa ukiwa hai ila Kichwa kibaki juu kirushiwe mayai viza mpaka ufe.
Jamani mimi nachukua fursa hii kumuomba msamaha Mr. Jakaya Mrisho Kikwete nilikusema sana saa nyingine kupost habari zisizo juu yako yaani nisamehe sana.
052537cd35a1b90a8adb477e301a127f.jpg


Kama umemmiss huyu baba yake Ridhiwan plz neno moja kwake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kikwete ni mbaya zaidi ya Makufulo tena ni mnafiki wa kiwango cha rami ya Mjerumani. Bora Makufoli anaonesha nakuishi kama moyo wake ulivyo lakini aka kajamaa kanacheka lakini kachafu keupe ila moyo mweusii ndo maana ameingiza nchi kwenye sintofahamu nitamlaani Duniani na nikikutana naye Mbinguni nitamlaani pia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Figisu zake na Luwasa ndio zilizosababisha kichaa kuokota rungu mwaka 2015 pale dodomA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom