mzee wa kijiwe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2012
- 947
- 690
Ahadi za KIKWETE ambazo hazitekelezeki zinazidi kuwa nyingi; Mahakama ya kadhi ni moja ya zawadi ambazo Kikwete aliahidi kuwaachia Waislam, zawadi nyingine ambayo nayo inashindikana sasa ni zawadi ya katiba mpya