Kikwete na mawaziri kadhaa kuzuru Muscat Jumatatu 15, Oktoba 2012

Au ndio maandalizi ya OIC? Ndugu zetu wanadai katiba mpya itambue OIC!! Elimu dunia muhimu.
Hilo pia linawezekana! Unajua usongo huo upo sana kichinichini, lakini haitakuwa jambo la BUSARA kwani nchi yetu TZ haina DINI ila wananchi wake ndio wenye hiyo dini! Tusikubali kamwe hata kuingizwa ktk katiba mpya, italeta mgongano wa hali ya juu! Watanzania tupendane na kuheshimiana bila kujali dini zetu zisitutenganishe!!!!!!!
 
In 2010-11, Omanis began staging marches and demonstrations to demand economic benefits, an end to corruption, and greater political rights. In February and March 2011, in response to protester demands, QABOOS pledged to create more government jobs and promised to implement economic and political reforms, such as granting legislative and regulatory powers to the Council of Oman and the introduction of unemployment benefits.

Also in March, the Gulf Cooperation Council pledged $20 billion in financial aid to Oman and Bahrain over a 10-year period to assist the two nations in their struggle with Arab protests. Amid concessions made to oppositionists, the government during the summer continued to crack down on protests and demonstrations, and increasingly clamped down on the media.


Politics: Political parties are illegal
GDP: $71.89 billion (2011). (Tanzania GDP $23billion)
Source: https://www.cia.gov/library/publications/the-world-factbook/geos/mu.html

My take:
Tuwe careful na hii mikataba tunayo-sign ya ku-protect investment za nchi zingine. Last week ilikuwa Canada, sasa Oman, mwishowe Tanzania tutakuwa hatuna sauti hata kidogo as a sovereign nation. Ni lini au ni chombo gani kimekaa chini na kujirisha na hiyo mikataba? Inawezekana ina faida, lakini wananchi wana haki ya kujua kama kweli ina faida.

Kuna haja kabisa kwa bungeni kuangalia hili. Na sijui ni kwanini bunge lisihusishwe na mikataba muhimu kama hii? Inagusa moja kwa moja na uhuru wa nchi. Kuna uzi mwingine unasema kuwa Tanzanite one wamekataa kutoa shares 50% kwa serikali ya Tanzania kama sheria mpya ya madini inayoelekeza. Wawekezaji wanaonekana kuwa na sauti hata kwa mambo ambayo ni ya kinyonyaji waziwazi! How can we be sure hii mikataba ya sasa haitupeleki huko? Kuna mechanisms gani za kulinda Tanzania against any potential compromise toka kwa hao wawekezaji?


 
Sijui safari inalenga kitu gani, labda yule bwana wa DOWANS aliyekuja kimya kimya. Hata hivyo ninachofahamu, Muscat ni wachunga mbuzi kama sisi. Anyway...

Unachofahamu Mkuu, lakini sivyo ilivyo. Huwezi kufananisha Oman na Tanzania hata kidogo, sawa na mbingu na ardhi. Si kiuchumi wala kimaendeleo.
 

Acha ubaguzi wa kidini.
 

Mkuu saizi Oman wanachimba gesi baada ya Qatar ni wao na wana mafuta kidogo.
 
Unachofahamu Mkuu, lakini sivyo ilivyo. Huwezi kufananisha Oman na Tanzania hata kidogo, sawa na mbingu na ardhi. Si kiuchumi wala kimaendeleo.

Mkuu Globu,
Naona unatoa elimu ya uraia.
 
Last edited by a moderator:
Unachofahamu Mkuu, lakini sivyo ilivyo. Huwezi kufananisha Oman na Tanzania hata kidogo, sawa na mbingu na ardhi. Si kiuchumi wala kimaendeleo.

Oman wamepiga hatua lakini siwezi kusema ni kama mbingu na ardhi kulinganisha na Tanzania.

GDP ya Oman $71bn, Tanzania ni $23bn
 
mkuu hili ni swali muhimu sana.je ni nani aliyeidhinisha haya yanayoenda kutendeka?
tunapoongelea kurudisha madaraka na maamuzi kwa wananchi tunamaanisha nini?
naomba kama kuna mtu ana uelewa zaidi ya kile mheshimiwa rais na jopo lake la mawaziri wanachoenda kusign uko arabuni atueleze.
 
Kwenye katiba tuweke max number of visit a president should have in a year pamoja na idadi ya watu wa kwenda nao
 


Tunatakiwa tuwe na 'check list' ya mambo ambayo lazima yalindwe, hivyo mikataba ya ku-protect investment za nchi nyingine yawe measured against hiyo check list yetu. Kwa sasa hatujui ni kitu gani hasa kipo kwenye hiyo mikataba! Ni kwanini wananchi wasishirikwishe kupitia kwa wawakilishi wao yaani bunge ili tuwe kwanza na check list - ya kwetu kama nchi? Ni mambo kama haya yanaleta malalamiko toka kwa wananchi.

Tunaambiwa rais kaalikwa, ofcourse kaalikwa, ma-godfathers wamefanya kazi zao sasa rais amekuwa -summoned, again ku-sign mikataba bila ya wananchi kujua ni kitu gani kinaendelea. Mambo mengine yanaudhi sana.

Na kuna watu wanaandika hapa as if Oman is developed nation! Oman bado kwenye programme za misaada kama sisi toka Magharib.
 

Acha umbeya wewe ikulu imetoa taarifa kama anakwenda kusaini mikataba?au unatulazimisha tuamini mawazo yako?
Halafu oman haiombi msaada toka nchi yeyote duniani inajitegemea kwa 100% ombaomba ni sisi
 
Oman wamepiga hatua lakini siwezi kusema ni kama mbingu na ardhi kulinganisha na Tanzania.

GDP ya Oman $71bn, Tanzania ni $23bn

Hivyo Mkuu FJM unaona ni tofauti ndogo hiyo? Hata nusu kwa nusu haifiki. Je unajua population ya Oman? ukilinganisha na TZ ni tofauti kubwa mno.
 
Last edited by a moderator:
Acha umbeya wewe ikulu imetoa taarifa kama anakwenda kusaini mikataba?au unatulazimisha tuamini mawazo yako?
Halafu oman haiombi msaada toka nchi yeyote duniani inajitegemea kwa 100% ombaomba ni sisi

mkuu soma thread kwa uangalifu mkuu,acha kupanic na kuingiza ushabiki.
 
Acha umbeya wewe ikulu imetoa taarifa kama anakwenda kusaini mikataba?au unatulazimisha tuamini mawazo yako?
Halafu oman haiombi msaada toka nchi yeyote duniani inajitegemea kwa 100% ombaomba ni sisi

Haina shaka ndani yake, uko On the line.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…