Kikwete na kundi lake ni wanafiki wakubwa kwa mujibu wa uislam

2011 mwaka wa mabadiliko...
Tunisia
Yemen
Egypt
Tanzania,United Republic of
Huyu mtu gani anajifanya hajui lolote linaloendelea leo wakati wananchi wana shida lukuki na hana jibu wala msaada wowote. Hakuna mtu anayemsema kwasababu ya dini yake....anasemwa kwasababu ya kukosa leadership and political skills za kuweza kutuongoza watu wake. Na hili hana namna ya kulikwepa kama hatabadilika
 
Ukweli utabaki palepale...wakati wa Mkapa Masheikh wengi walikua aligned na CUF na Maaskofu kwa CCM,alivyoingia JK trend ikaanza kubadilika, ilipofikia sasa, Masheikh wengi wapo na CCM na Maaskofu wamegeukia CHADEMA,2015 Masheikh watarudi CUF kwa sababu CCM watasimamisha Mkristo kugombea urais,Maaskofu watagawanyika,wengine watarudi CCM,ila wengi wa Katoliki watabaki CHADEMA....NANI ANABISHA!!???

Naomba nikusaidie mwanawani,aka kamchezo nikagumu kukaelewa kama una elimu za ngumbalu! Kinachofanyika hapa ni Psycho-politics,na hii wanachezesha wajanja ambao si wengine bali ni CCM.CUF ilikuwa tishio 2005 kwa CCM,Kikwete alikuwa akubaliki kwa Waislam wenye msimamo mkali,walichofanya wakaeneza uvumi kuwa CUF ni chama cha Kiislam ili kichukiwe na waikristo,walifanikiwa! Baadhi ya waliocheza filam hii ni Makamba,Kikwete na Mahita.Leo Chadema ni tishio kimeitwa chama cha kiikristo, Wameona bado haitoshi maanake ukisema Chadema ni chama cha Kiikristo unakiongezea umaarufu,wamebadili kwa sasa wanakiita chama cha Wakatoliki,kiliitwa cha Wachaga hoja ikakosa mashiko.Je nani Mkristo au Muislam anafaidika na uhuni wa Nazir Karamagi,Msabaha,JK,Rostam Aziz,Lowasa,Mramba nk. msioelewa mtabaki kulalama na UDINI wanjaja wachache ambao kwao dini sio ishu wanatafuna nchi.
 
typical, mi naujua uislam zaidi yako mara mia, nakama unahitaji darasa la kweli sema nikufundushe, na sio mnavyofundishwa kwenye madrasa zenu jinsi ya kurari qur,an tokea juzu ama hadi tabaraka, au kurariri hadith za mtume bila kuchanganua zipi ni sahihi, dhaifu au quddus, mnashida sana nyinyi mnakaririshwa kwa kuambiwa wa annamal muslimuna ikhwan wali kaffiruna ikhwana shayatwin,mkimaanisha hakika waislam wote ni ndugu na makafiri(wasio waislam) wote ni ndugu wa shetani, huku mkisahau kua fatuma na abdalah baba na mama yake muhamad hawakua waislam hadi babu yake abdul mutalib alie mlea muhamad alikua anaabudu masanam kafiri tu, acheni unafiki mnampenda kikwete kwa mwamvuli wa uislam wakati ni mnafiki na msaliti mkubwa wa taifa letu.

Toa elimu kaka na mimi nilikalilishwa ningali ka child
 
wawap we? ukweli mtupu jk hakukubalika kwa moslemz tangu 2005,awamu hii kawalaghai kwa kadhi.pombe anakunywa,wanae usoma shule za katoliki zisizo na udini ukibisha nenda hapo Tanga ujionee lakin siku za idd uvaa kibalagashia na kanzu.alitumia cheap popularity kwa kutugawa kiimani,yako wapi leo uchumi chaliii mbayaa! mfumko wa bei usiseme,dowans, ubabaishaji etc si muislam si mkristo wote tutajuuuta!Nyerere alimkataa!Bora tungempata Dr.Ahmed Salim 2005,Chagua m2 kwa uwezo wake na si imani yake, badilikeni ninyi.

Wanaojua hawajisifii wla hawana muda wa kukashifu wengine... ni dalili tu kwamba hujui..

Amesaliti taifa kwa kufanyeje?, kuwaunganisha wazenj, kujenga shule nyingi za kata, kutoa uhuru wa habari, kuwashtaki mafisadi?

Acha kuimba wimbo waG. mnafiki ni wewe unayejipendekeza kwa maadui wa waislamu na uislam

Hata hivyo it is too late kutudanganya..

Elimu ya madrasa au? Uhuru wa vyombo vya habari hautolewi na mtu wala kuchukuliwa na mtu.Freedom of expression is a human right,and "Human right can not be granted by anyone,its God gifted"
 
kama kashindwa kutekeleza ahadi zake kwa nini aliahidi?? Ukweli unabaki palepale kikwete ni mnafiki na wala hafanani kabisa na imani ya dini yake huyo huyo mtume s.a.w alisema kua al islam nadhif, fata dhwafuu, wa inal la yadkhul jjana illa nadhwifu, akimaanisha uislam ni usafi na pia hakuna mchafu yeyote atakae ingia peponi ila msafi wa roho na matendo, je mkwere ni msafi?hapendi visasi? Hana kejeli na dharau?

Wastage of time!!

Evaluation ya dini ya mtu haiko kwa Kikwete tu! na wewe sio wa kufanya hiyo tathmini yakhe! weye uko perfect?? kama hauko perfect why bother JK?? JK anatakiwa aadhibiwe kwa sheria za nchi na kudbitiwa kwa kanuni!

By the way, who told you kuwa JK ni mwislamu?? kwa sababu ya barakhashia, kanzu, kwenda msikitini?/ I am afraid that in Tanzania we dont have muslims!! from your definition, need not to say hakuna wakristo pia!!!

mnapoteza muda na madini yenu ya imported!!!!
 
typical, bruce lee yupo sahihi na anatisha taifa linahitaji wenye mitazamo kama yake. Kubali kakushinda nguvu za hoja.
 
mambo magum, maisha yanakatisha tamaa, unafiki wa kikwete unaendelea kuwatesa wtz. Sasa kama mwanzo wa kipindi chake cha 2 ndio hivyo sijui mtamalizaje miaka m4 ijayo. Pole sana, na pia komeni wote mlio mchagua mkwere na mtakoma kwa usaliti wenu.
 
Naomba nikusaidie mwanawani,aka kamchezo nikagumu kukaelewa kama una elimu za ngumbalu! Kinachofanyika hapa ni Psycho-politics,na hii wanachezesha wajanja ambao si wengine bali ni CCM.CUF ilikuwa tishio 2005 kwa CCM,Kikwete alikuwa akubaliki kwa Waislam wenye msimamo mkali,walichofanya wakaeneza uvumi kuwa CUF ni chama cha Kiislam ili kichukiwe na waikristo,walifanikiwa! Baadhi ya waliocheza filam hii ni Makamba,Kikwete na Mahita.Leo Chadema ni tishio kimeitwa chama cha kiikristo, Wameona bado haitoshi maanake ukisema Chadema ni chama cha Kiikristo unakiongezea umaarufu,wamebadili kwa sasa wanakiita chama cha Wakatoliki,kiliitwa cha Wachaga hoja ikakosa mashiko.Je nani Mkristo au Muislam anafaidika na uhuni wa Nazir Karamagi,Msabaha,JK,Rostam Aziz,Lowasa,Mramba nk. msioelewa mtabaki kulalama na UDINI wanjaja wachache ambao kwao dini sio ishu wanatafuna nchi.
umenena ukweli mtupu na haki,hawa ccm na makada wake wanapika propaganda kulingana nanyakati zilizopo,waislam na wakristo tunapaswa kuungana kwanguvu moja kudai katiba mpya,tukumbuke sisi sote nindugu na ni watanzania,utaifa na uzalendo kwanza udini usitugawe
 
Back
Top Bottom