Kikwete na kundi lake ni wanafiki wakubwa kwa mujibu wa uislam

Mkuu huyu TYPICAL achana nae au ignore her, she's here to distort and distract because she knows exactly that people are sensitive to religion and she wants to stir or ignite the battle between "SISI" na "WAO" while we are all "SISI" wachukia ufisadi na unafiki. Thread yako imemzungumzia vizuri sana mtu anayetoa ahadi za trillion mia mbili kwenye kampeni wakati hazina imekauka. Rafiki zake wamechota foreign reserve yote na kuipeleka offshore while we don't have anything to export for getting more forex.

Sina sababu ya kum-distract mtu yeyote yule..just saying the truce..
 
topical, we uislam unaujua vizuri?unaijua misingi ya uislam?quran, hadith(maneno na matendo ya mtume) pia mwisho ni ijithad ambayo inajenga na qias na ijmaa je unaelewa vizuri? We ni mfuasi wa imam gani?shafii,malik, hanaf au hambal? Unajua chimbuko la makundi ndani ya uislam?kulikua na bif gani kati ya abubakar sidik na ally mme wa fatuma bint muhamad mama wa mapacha hasan wa husein? Topical huujui uislam vizuri omba uelimishwe.

Najua kiasi chake, Mwenye kujua zaidi ni Mwenyezi Mungu na Mtume wake upo!

Je wewe unajua?
 
Ukweli utabaki palepale...wakati wa Mkapa Masheikh wengi walikua aligned na CUF na Maaskofu kwa CCM,alivyoingia JK trend ikaanza kubadilika, ilipofikia sasa, Masheikh wengi wapo na CCM na Maaskofu wamegeukia CHADEMA,2015 Masheikh watarudi CUF kwa sababu CCM watasimamisha Mkristo kugombea urais,Maaskofu watagawanyika,wengine watarudi CCM,ila wengi wa Katoliki watabaki CHADEMA....NANI ANABISHA!!???

Ultimately vyama vyenye mlengo wa kidini "Islamic vs.chriatian party, better for Tanzania. Isn't it?
 
typical, mi naujua uislam zaidi yako mara mia, nakama unahitaji darasa la kweli sema nikufundushe, na sio mnavyofundishwa kwenye madrasa zenu jinsi ya kurari qur,an tokea juzu ama hadi tabaraka, au kurariri hadith za mtume bila kuchanganua zipi ni sahihi, dhaifu au quddus, mnashida sana nyinyi mnakaririshwa kwa kuambiwa wa annamal muslimuna ikhwan wali kaffiruna ikhwana shayatwin,mkimaanisha hakika waislam wote ni ndugu na makafiri(wasio waislam) wote ni ndugu wa shetani, huku mkisahau kua fatuma na abdalah baba na mama yake muhamad hawakua waislam hadi babu yake abdul mutalib alie mlea muhamad alikua anaabudu masanam kafiri tu, acheni unafiki mnampenda kikwete kwa mwamvuli wa uislam wakati ni mnafiki na msaliti mkubwa wa taifa letu.
 
Wanaojua hawajisifii wla hawana muda wa kukashifu wengine... ni dalili tu kwamba hujui..

Amesaliti taifa kwa kufanyeje?, kuwaunganisha wazenj, kujenga shule nyingi za kata, kutoa uhuru wa habari, kuwashtaki mafisadi?

Acha kuimba wimbo waG. mnafiki ni wewe unayejipendekeza kwa maadui wa waislamu na uislam

Hata hivyo it is too late kutudanganya..
 
nani kakwambia abdallah na fatuma ni baba na mama wa mtume. Tatizo mapadri walishaKUMIMINA pale madhabahuni ukiwa mdogo mafundisho. Umeathirika kisaikolojia mgalatia we
 
nani kakwambia abdallah na fatuma ni baba na mama wa mtume. Tatizo mapadri walishaKUMIMINA pale madhabahuni ukiwa mdogo mafundisho. Umeathirika kisaikolojia mgalatia we
 
dos santos, abdalah bin abdul mutalibi na amina,ndio makafiri waliomzaa muhamad na fatuma,hafsa, na kasim ni watoto wa mtume wenu, alie muoa shuga mami hadija aliemzidi zaidi ya miaka 20,kwa ajili ya mali zake, alipata promo from utumishi wa biashara mpaka kua husband, hakuoa mpaka hadija alipokufa na kumuachia mali zote ndivyo alivyoanza kuoa kwa pupa hadi zaidi ya wanawake 11, na wa mwisho ni aisha bint wa abubakari best yake mtume,ki umry muhamad alikua sawa na baba yake wa kumzaa.wewe typical na wenzenu hamuijui dini yenu vizuri, poleni sana
 
Thread nzuri ila imekosa wachangiaji, Mi nakubaliana na Bruce lee kama kiongozi mwizi huyo ni wa shetani tu hata kama ni wa dini yako. Nyerere sikubaliani na alichokifanya wakati wa utawala wake, Mwinyi alikuwa kiongozi mzuri lkn upole ulimponza, Mkapa alikuwa kiongozi mzuri mwanzo alipandisha uchumi, hela yetu dhamani yake ikapanda lkn kumbe MWIZI. Kikwete mmmh! huyo mpaka muhula wake wa pili uishe nasi tutakuwa hatutamaniki kiuchumi, kisiasa etc, kwani yeye ni zaidi ya mtangulizi wake.
 
dos santos, abdalah bin abdul mutalibi na amina,ndio makafiri waliomzaa muhamad na fatuma,hafsa, na kasim ni watoto wa mtume wenu, alie muoa shuga mami hadija aliemzidi zaidi ya miaka 20,kwa ajili ya mali zake, alipata promo from utumishi wa biashara mpaka kua husband, hakuoa mpaka hadija alipokufa na kumuachia mali zote ndivyo alivyoanza kuoa kwa pupa hadi zaidi ya wanawake 11, na wa mwisho ni aisha bint wa abubakari best yake mtume,ki umry muhamad alikua sawa na baba yake wa kumzaa.wewe typical na wenzenu hamuijui dini yenu vizuri, poleni sana

Afadhali umejisema mwenyewe..lol..mnafiki mkubwa wewe..kumbe bonge ya mkristo

Hiyo amekufundisha padre Slaa...pole sana
 
typical, una uhakika kama mi ni mkristo?unataka kuijua imani yangu? Bora uulize kuliko ku conclude kwa taarifa kama ninavyo uchambua uislam hata ukristo pia ni hivyo hivyo, wengi wenu mnakua wapumbavu wa kifikra,mnasoma hamtaki kuelimika mna aminishwa vitu bila kuchuja na kutafiti ukweli na mwisho wa siku mnakua watumwa wa imani. Im very far from you, ishukuru jf kutuunganisha.
 
Idiot, eh! far how many miles dude..
 
Nonsense, huwezi kutufundisha sisi waislamu chochote wewe, pretending to be a muslim, we know what we are doing and how? shut up

Nashangaa kuona michango mingi hutolewa inapopostiwa issue ya udini kama hii isiyo na mashiko. wengine hutoa hata matusi wakidai eti wanaongea ishu za God. ni bora mkaacha na mwendeleze uchafu mliouzoea wa dunia hii.
wote mnaoshabikia ugaidi, uaskofurism, alqaeda, etc wote mnasubiri adhabu ya allah
 
typical, pole i mean mentally na sio physicall, ulipo wewe kifikra mi sipo kabisa, huo mtazamo wako nilikua nao miaka 10 iliopita wakati sijaanza hata kusoma das kapital ya karl max pamoja na ontological phylosophy za akina socrates,thales,anexmanes, anexmandes, na sapere aude of emanuel kant. We nawenzako wachache sana kifikra.
 
Ulipo soma hayo ukajiona una akili sana!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Wewe kweli mwisho wa vilaza
 
Je, wewe unamtambua?. Kama unamtambua je, umesilimu? Na je, una mtume mwingine zaidi ya huyo?
Kwanza ukiri kumtambua kama ni mtume aliyekuja kwa "walimwengu wote". Si kwa wayahudi pekee au wafilipino n.k.
Pili uwakunshe na kuwashuhudia UNAFIKI wale walioshangaa polisi kuua raia Arusha lakini wakasherehekea polisi kuua raia Pemba na Mwembechai.
Then baada ya hapo uje jamvini tuongee na kujadili maneno yenye Hekima ya mtukufu wa Daraja.
wawap we? ukweli mtupu jk hakukubalika kwa moslemz tangu 2005,awamu hii kawalaghai kwa kadhi.pombe anakunywa,wanae usoma shule za katoliki zisizo na udini ukibisha nenda hapo Tanga ujionee lakin siku za idd uvaa kibalagashia na kanzu.alitumia cheap popularity kwa kutugawa kiimani,yako wapi leo uchumi chaliii mbayaa! mfumko wa bei usiseme,dowans, ubabaishaji etc si muislam si mkristo wote tutajuuuta!Nyerere alimkataa!Bora tungempata Dr.Ahmed Salim 2005,Chagua m2 kwa uwezo wake na si imani yake, badilikeni ninyi.
 
Back
Top Bottom