Kikwete na kundi lake ni wanafiki wakubwa kwa mujibu wa uislam

Topical,

..hata Muislamu anaweza kuua Waislamu wenzake.

..umesahau mauaji ya Kilombero yaliyotokea wakati wa Mzee Ruksa?

..umesahau virungu vilivyotembezwa Znz wakati wa maandamano ya kupinga kauli ya Sofia Kawawa?

..pia alikuwepo Prof.Lipumba ambaye ni Muislamu na hajahusika na hujuma zozote dhidi ya Waislamu.

..mimi nadhani Mashekhe wanaleta siasa kwenye suala zito ambalo limehusisha kupotea kwa maisha ya Waislamu.

At least JK hajauua waislamu kwa kipindi chote cha madaraka yake..amewapatanisha waislamu wa zanzibar kuko salama sasa, maaskofu wanahangaika ili wauuane wameshindwa..one proof kwamba ni better evil..naamini rais angeukuwa padre slaa zanzibar issue ingekuwa far from peace...hata sasa cdm hawana mpango na grievences za waislamu upo!

Najua kuwa hata musilamu anaweza kuua wasilamu lakini JK ameonyesha tofauti...

Masheikh hawajaacha kudai uchunguzi ufanyike kuhusu swala hilo, wala hawaja acha kudai mahakama ya kadhi awepo mkristo au muislamu na madai hayo yatakuwepo mpaka yatakapotekelezwa iwe ccm au cdm au muislamu au mkristo..hayo madai pia ni hayana time limit it by any means necessary upo!

issue ya uchaguzi ilikuwa who is the better eveil!
 
jokakuu upo sahihi ndugu yangu, hata mi hua nashangaa sana jinsi gani waislam walivyo na mitazamo ya kushoto wapo tayari kusapot na hata kumficha gaidi as long as ni muislam. Tubadilike jamani
 
Topical,

..ina maana Mashekhe wanasubiri CCM wasimamishe mgombea Mkristo ndipo waanze kuiandama/kuishutumu kuhusu mauaji ya Mwembechai?

Kuna namna nyingi ya kudai madai yako, siyo lazima kuandama kila wakati..
 
topical, then prove kama mkwere sio mnafiki, we unajua maana ya ku prove?au unaandika tu kwa vile unamikono, huo ni ujinga na umaskini wa mawazo, ina maana we unamuona mkwere ni msafi? Acha unafiki.

emotions huondoa busara.
 
jokakuu upo sahihi ndugu yangu, hata mi hua nashangaa sana jinsi gani waislam walivyo na mitazamo ya kushoto wapo tayari kusapot na hata kumficha gaidi as long as ni muislam. Tubadilike jamani

Nonsense, huwezi kutufundisha sisi waislamu chochote wewe, pretending to be a muslim, we know what we are doing and how? shut up
 
Hivi sielewi kwanini kila inapokuja kuongelea masuala muhimu ya nchi kama mtoa mada alivyoi-present mtoa mada bruce lee watu wanaingia na gia ya udini????????? Is this great thinking??? Au watu mmedandia treni kwa mbele:suspicious: angalieni isije kuwagonga???? Kama mna mada zenu za kueneza dini nendeni kuna vipindi radio tumaini na sauti ya qurani na sio JF tena kwenye jukwaa la siasa..... 'USIJILAZIMISHE KUFIKIRIA KAMA HUNA UWEZO WA KUFIKIRI, MNATULETEA PUMBA HUMU' .... kama hujui chanzo cha matatizo ya taifa sasa, kamwe hutojua jinsi ya kuyatatua....:faint:
 
Je, wewe unamtambua?. Kama unamtambua je, umesilimu? Na je, una mtume mwingine zaidi ya huyo?
Kwanza ukiri kumtambua kama ni mtume aliyekuja kwa "walimwengu wote". Si kwa wayahudi pekee au wafilipino n.k.
Pili uwakunshe na kuwashuhudia UNAFIKI wale walioshangaa polisi kuua raia Arusha lakini wakasherehekea polisi kuua raia Pemba na Mwembechai.
Then baada ya hapo uje jamvini tuongee na kujadili maneno yenye Hekima ya mtukufu wa Daraja.

kama kashindwa kutekeleza ahadi zake kwa nini aliahidi?? Ukweli unabaki palepale kikwete ni mnafiki na wala hafanani kabisa na imani ya dini yake huyo huyo mtume s.a.w alisema kua al islam nadhif, fata dhwafuu, wa inal la yadkhul jjana illa nadhwifu, akimaanisha uislam ni usafi na pia hakuna mchafu yeyote atakae ingia peponi ila msafi wa roho na matendo, je mkwere ni msafi?hapendi visasi? Hana kejeli na dharau?

Topical una lingine la kuongeza?
 
topical, unajua maana sahihi ya emotion?isack ali define kua ni energy in motion je unajua maana halisi ya energy in motion? Kuna aina ngapi za emotion? You proved to me bout yor locality and cave men background.
 
nenda shuleni unataka nikufundishe ..nenda sunday school kuna wale mapdre wana elimu kidogo, angalizo huwa wanafanyaga vibaya watoto wa kiume (!)
 
topical, we uislam unaujua vizuri?unaijua misingi ya uislam?quran, hadith(maneno na matendo ya mtume) pia mwisho ni ijithad ambayo inajenga na qias na ijmaa je unaelewa vizuri? We ni mfuasi wa imam gani?shafii,malik, hanaf au hambal? Unajua chimbuko la makundi ndani ya uislam?kulikua na bif gani kati ya abubakar sidik na ally mme wa fatuma bint muhamad mama wa mapacha hasan wa husein? Topical huujui uislam vizuri omba uelimishwe.
 
Bruce Lee,

..mimi nashangaa Waislamu wanavyoiunga mkono CCM, wakati serikali yake inahusika na mauaji ya Waislamu Pemba na Mwembechai.

..Waislamu wanalalamika kwamba Pius Msekwa alikataa kuunda kamati ya Bunge kuchunguza mauaji ya Mwembechai. sasa hivi Msekwa ndiye Makamu Mwenyekiti wa CCM.

..Mkapa aliyekuwa amiri jeshi wakati wa mauaji ya Mwembechai ndiye aliyefunga kampeni za CCM pale Jangwani. tena alifurumusha maneno machafu-machafu. sasa wapinga mauaji ya Mwembechai wanajisikiaje wanapopigia kura CCM?

..CCM walitoa kauli gani kuhusu mauaji ya Mwembechai na Pemba? walionyesha hali yoyote ile ya kusikitika? je, walitubu kwa namna yeyote ile kutokana na udhalimu wa serikali yake?

..je, kwa kumsimamisha mgombea Muislamu, CCM imejisafisha na kashfa ya mauaji ya Mwembechai?

It is not fair to generalise. Si dhani kama ni waislam wote wanaiunga mkono CCM ni kama ilivyo kwa wakristo. Kwa kufanya hivyo unakuwa unawasaidia wale waliotumwa kutugawa kwa misingi ya dini zetu kujinufaisha.
 
topical, we uislam unaujua vizuri?unaijua misingi ya uislam?quran, hadith(maneno na matendo ya mtume) pia mwisho ni ijithad ambayo inajenga na qias na ijmaa je unaelewa vizuri? We ni mfuasi wa imam gani?shafii,malik, hanaf au hambal? Unajua chimbuko la makundi ndani ya uislam?kulikua na bif gani kati ya abubakar sidik na ally mme wa fatuma bint muhamad mama wa mapacha hasan wa husein? Topical huujui uislam vizuri omba uelimishwe.

Mkuu huyu TYPICAL achana nae au ignore her, she's here to distort and distract because she knows exactly that people are sensitive to religion and she wants to stir or ignite the battle between "SISI" na "WAO" while we are all "SISI" wachukia ufisadi na unafiki. Thread yako imemzungumzia vizuri sana mtu anayetoa ahadi za trillion mia mbili kwenye kampeni wakati hazina imekauka. Rafiki zake wamechota foreign reserve yote na kuipeleka offshore while we don't have anything to export for getting more forex.
 
Mimi ni Mkristo,Mkatoliki,Mwanachama wa Chadema na sisi tumeambiwa na Mapadre CHADEMA ndio Chama kitakacho Wasaidia wakristo katika mambo yetu! Nampenda sana Dr Slaa(Phd) ambae alikua Padre wa Roman Catholic! Tanzania hatuiacha iende OIC wala Kuifanya iendeshwe kwa Mahakama ya Kadhi!

Uandishi wa aina yako unaonyesha fika you are not! Did you learn manners as well when you attend your schools? From what you have written, its obvious you dont have a balanced mind. Hapo ndipo penye tofauti kubwa nugu yangu. Wakatoliki hawajitetei na kulialia hovyo bila sababu wakitafuta watu wakuowaonea huruma.
 
Mimi ni Mkristo,Mkatoliki,Mwanachama wa Chadema na sisi tumeambiwa na Mapadre CHADEMA ndio Chama kitakacho Wasaidia wakristo katika mambo yetu! Nampenda sana Dr Slaa(Phd) ambae alikua Padre wa Roman Catholic! Tanzania hatuiacha iende OIC wala Kuifanya iendeshwe kwa Mahakama ya Kadhi!

Wakubalance.....mwenzako jana amefungwa kifungo cha maisha jela..... brain washed
 
hofstede, thank you brother. Taifa linatuhitaji na ku pm ili tuendelee kubadilishana mawazo, you are very great thinker i admire you thinkability and your level of intellgebility.
 
topical, we uislam unaujua vizuri?unaijua misingi ya uislam?quran, hadith(maneno na matendo ya mtume) pia mwisho ni ijithad ambayo inajenga na qias na ijmaa je unaelewa vizuri? We ni mfuasi wa imam gani?shafii,malik, hanaf au hambal? Unajua chimbuko la makundi ndani ya uislam?kulikua na bif gani kati ya abubakar sidik na ally mme wa fatuma bint muhamad mama wa mapacha hasan wa husein? Topical huujui uislam vizuri omba uelimishwe.
Noted.
I give u a credit kumbe islamic jurisprudence iko kwa akili zako.
Twayyib.
 
Ukweli utabaki palepale...wakati wa Mkapa Masheikh wengi walikua aligned na CUF na Maaskofu kwa CCM,alivyoingia JK trend ikaanza kubadilika, ilipofikia sasa, Masheikh wengi wapo na CCM na Maaskofu wamegeukia CHADEMA,2015 Masheikh watarudi CUF kwa sababu CCM watasimamisha Mkristo kugombea urais,Maaskofu watagawanyika,wengine watarudi CCM,ila wengi wa Katoliki watabaki CHADEMA....NANI ANABISHA!!???
 
Back
Top Bottom