Supervisor
JF-Expert Member
- Oct 29, 2010
- 559
- 207
Leo Mh Jk anatangazwa mshindi wa urasi 2010-2015 na Jaji Lewis Makame! Lakn wakati yakitangazwa matokeo Jk alionekana fika hana furaha na muda wote wa uongozi wake. Kwanza anajua watu hawampendi na ametumia nguvu kumalizia miaka 5 iliyobaki. Swali lake kubwa ni!! Hivi Dr Slaa atachukua uamzi gani na utakuwa na effect gani na utawala wake. Miaka 5 isiyo na lepe la furaha kwa Jk. Alitegemea 85% leo kakomea 61.17% ni fedheha kwake.