The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,586
- 14,138
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na bila shaka Kazi inaendelea..
Marehemu Mwendazake alikuwa Rais wa awamu ya 5 aliyejaa Tambo za kila aina akijisifia kujenga Barabara nk..
Lakini cha kushangaza kwa miaka 5 aliyokaa madarakani alishindwa kabisa kumalizia Kazi nzuri ya Rais Kikwete ya Kuunganisha Mikoa yote kwa barabara za lami lakini alikuwa anatamba na wapambe wake wakijipiga kifua kwa kumuita baba wa miundombinu na kuchaguzwa na kauli ya kishindo Cha awamu ya 5..
Nimejaribu kutafuta barabara alizokamilisha Magufuli kwa miaka yake kama Rais sijaona popote isipokuwa barabara moja tuu ya Mpanda hadi Tabora na vile vi flyover uchwara ya Dar vilivyogharimu.pesa nyingi huku vikiwa vya kiwango duninukilinganishwa na wenzetu..
Just imagine hadi leo hii Mikoa zaidi ya 15 Haijaunganishwa na Lami na majuzi tuliona Rais Samia akiweka Jiwe la Msingi la Barabara kadhaa na kuzindua zingine nakumbuka Mwendazake alikuwa akifanya maigizo ya kuzindua barabara zikizokamilika toka awamu ya 4 kama Dodoma-Iringa,Dodoma-Babati,Sumbawawanga-Tunduma na nyingine nyingi kule Kusini.
Mikoa ifuatayo hadi tunaongea hivi Haijaunganishwa Kwa lami na Magufuli alivyoipokea ndivyo aliiacha watu wakiogelea kwenye mavumbi..
1. Njombe-Morogoro,
2. Mbeya-Tabora,
3. Mbeya-Singida,
4. Rukwa-Katavi/Mpanda,
5. Katavi-Kigoma,
6. Kigoma-Kagera,
7. Kigoma-Geita,
8. Manyara-Simiyu-Singida(mbunge alipiga sarakasi),
9. Arusha-Simiyu,
10. Arusha-Mara/Musoma,
11. Dodoma-Manyara-Tanga,
12. Morogoro-Ruvuma/Songea,
13. Morogoro-Lindi,
14. Lindi-Ruvuma/Songea,
15. Tabora-Kigoma,
16. Mbeya-Njombe.
Swali..
Magufuli wa kujimwambafy alijenga Barabara zipi? 👇