Kama majukumu ya AU yamemkinga kiasi cha kwamba hawezi kuwatumikia wananchi then kweli what else should we think?Mimi kwa maoni yangu nchi imekwishamshinda huyu jamaa. Hivyo hakuna cha kunishangaza tena.
Katiba yetu ingekuwa ni kwa maslahi ya Watanzania basi kungekuwa na kipengele cha Bunge kupiga kura ya maoni ya kutokuwa na imani na Rais aliye madarakani na hivyo kumuondoa ili kuruhusu uchaguzi mwingine.
Banadugu,
Sometimes we need to be fair. I think this was not a bad idea, to let the country know of their prez's tasks, especially after we became angry of his travelling habits.
Africa needs Tanzania probably just as much as Tanzania needs Kikwete.
Inategemeana na uzito wa issues!Mjukumu yake ya AU hata mimi nayasupport!Lakini haina maana kwamba hana wasaidizi huko kwenye baraza la Umoja wa Afrika!Duh hata mimi nimekuwa nikipinga sana safari zake za nje ,ila kwa hili naona yuko makini safi tu anatimiza wajibu wake kama mwenyekiti.Na ukizingatia kama ujumbe ameuacha na umewakilishwa na msemaji wa ikulu/whatever inamaanisha hata angekuwepo ujumbe ni ule ule.Na ndio maana wakawepo wazaidizi na hawa wasemaji lisilo budi hutendwa.
Inategemeana na uzito wa issues!Mjukumu yake ya AU hata mimi nayasupport!Lakini haina maana kwamba hana wasaidizi huko kwenye baraza la Umoja wa Afrika!
Anao wasaidizi pia kwenye uongozi wake wa taifa letu!
So point hapa ni which of the assignements matter the most!
Mh Rais binafsi pamoja na wewe naona mmeamua kuwa kikao ama vikao kadhaa vinavyokuja kwenye ratiba yake ni muhimu kuliko vile vinavyoliliwa na watanzania kwenye kipindi hiki kigumu cha mpito!?
Sijakuelewa ndugu yangu!Ama labda kwa maana nyingine hatujaelewena bado!Wewe kama unashindwa ku-balance mambo ni wewe,kwa hoja yako inaonyesha kwamba asitumike kama M/kiti au unasema nini?Kwani mimi au yeye kakwambia Bongo ndio arudi tena au kwa kusema pia anawajibu pia wa kutumika kama M/kiti wa africa sio sahihi.Jua ku balance mambo ndugu sio ukiambiwa umeweka chumvi nyingi kesho ndio huweki kabisa.Mimi sipendi ziara zake nyingi za nje ila sio kwamba asiende kabisa!
Jambo jingine kunichanganya mimi na uyo mkwere JK unakosea sana maana I don't admire the guy ,he seem to me to be very weak !Ila hainifanyi nipinge kila jambo lake hata ile ambalo naona hajakosea .
Banadugu,
Sometimes we need to be fair. I think this was not a bad idea, to let the country know of their prez's tasks, especially after we became angry of his travelling habits.
Africa needs Tanzania probably just as much as Tanzania needs Kikwete. It is up to him to stike the right balance. TZ is more experienced and well positioned to solving African crisises, as long as we don't overstreach our limited resources. If we stop helping Congo, Burundi, Rwanda, Somalia etc., their conflicts might spillover to our borders in the form of refugees etc., and instead of trading with them, we might end up sharing the little bread we have with them. I wouldn't mind seeing him doing some African diplomacy as long as he still keep a close eye on all the issues that Tanzanians entrusted him for. Mungu ibariki Tanzania.