UrbanGentleman
JF-Expert Member
- Jun 19, 2016
- 2,584
- 1,886
Laana ya Mungu wapi hiyo ni Laana ya wariobaHuyo Mzee Laana ya Mungu inampiga 1, ugumu wa Maisha aliowapa waTz, 2, Laana ya Zenji,3, kumtetea pinda asipigwe chini Sakata la Escrow,4,kushindwa kuwapa wananchi katiba Mpya, 5 Kwenda nje kuomba misaada ambayo haijamnufaisha Mtanzania