Kikwete Mzee wetu, mbona bashasha imepotea ghafla?

Kikwete Mzee wetu, mbona bashasha imepotea ghafla?

Unapigania kumtetea mtu hata asiyekujua wala kukuthamini, utakuwa na matatizo ya akili siyo bure,
fisadi Lowasa hajui hata kama unaishi Dunia hii,
kwa nini usijali familia yako zaidi?
Mbona unayoizungumzia ni character yako? Tofauti ni kwamba, wewe unaijali familia yako...buku 7 kwa siku si haba ukifanikiwa kuacha 5 nyumbani
 
Kwa taarifa yako JK ni mkubwa kwa umri kuliko Lowasa! Kikwete kazaliwa 1950 na huyo Edo 1953 kwa hiyo unavyosema eti alionekana ni mzee kuliko Edo ni kweli ni kaka yake!
So what? Mbona Mwinyi hajaonesha kuzeeka ghafla? Nimemwona Malecela ingawa amechoka lakini haoneshi kuwa na stress. Jk ana stress ndo maana amezeeka ghafla.
 
Unapigania kumtetea mtu hata asiyekujua wala kukuthamini, utakuwa na matatizo ya akili siyo bure,
fisadi Lowasa hajui hata kama unaishi Dunia hii,
kwa nini usijali familia yako zaidi?
MTU akiishiwa hoja halafu akataka azungumze tu basi atakachozungumza ni upumbav!
Huna hoja,shut up!Hawa wote wanaomtetea Magufuli,yeye mwenyewe anawajua personally?Anakujua wewe?Hv huko lumumba kuna darasa la kusomea ujinga?
 
Vijana wa bavicha na mbinu dhaifu za kumdiscredit jk.

Na ameshasema hamtanyanyuka tena,labda dunia nyingine,lakini sio hii
 
MTU akiishiwa hoja halafu akataka azungumze tu basi atakachozungumza ni upumbav!
Huna hoja,shut up!Hawa wote wanaomtetea Magufuli,yeye mwenyewe anawajua personally?Anakujua wewe?Hv huko lumumba kuna darasa la kusomea ujinga?


Pombe Magufuli (PhD) ni raisi wa JMTZ hivyo uamuzi wake wowote ule unatuhusu, fisadi Lowasa anakuhusu nini mpaka uje umtetee humu? Kwa nini usitetee familia yako? Yeye fisadi Lowasa akujali au hata anajua kama unaishi?
 
Labda na yeye vi-memo vyake vilipuuzwa na JPM.
 
Huyo Mzee Laana ya Mungu inampiga 1, ugumu wa Maisha aliowapa waTz, 2, Laana ya Zenji,3, kumtetea pinda asipigwe chini Sakata la Escrow,4,kushindwa kuwapa wananchi katiba Mpya, 5 Kwenda nje kuomba misaada ambayo haijamnufaisha Mtanzania
 
JK atakumbukwa kuwa alikuwa mzee wa vicheko na bashasha hata pale aliposhambuliwa kwa maneno ya kuudhi.

Kwa waliomuona Jana akifungua KK kwa hakika sio yule tunayemjua. Kwanza anaonekana mgonjwa na mzee kuliko hata mzee Mwinyi.

Nini kimemsibu mzee wetu hata katika siku aliyopaswa kuonyesha furaha? Siku ya kustaafu kabisa uongozi.

Kwa muonekano wa Jana jinsi alivyo choka na ukimuangalia kwa sasa rafiki yake Edward na ukiwasimamisha pamoja waweza kudhani Jakaya ni baba na Edo ni mwanae au mdogo wake wa mbali.

Kuna nini hii sudden change?
Kuna ukweli kuwa kalazimishwa kukabidhi hiyo kofia na sasa yale mambo ambayo ni kero za watanzania zitaanza kuanikwa moja baada ya nyingine tukianza na lugumi,uda na escrow
 
Ana msongo wa mawazo sana kuna bundi ameshatoa dodoma kwa kazi maalumu
 
Hapa Edo anaingiaje kaka? Acha ushabiki usio na tija
Kazi hiyo ya kumchagulia mtu nini aseme umeianza lini?kwani akilinganishwa na Edo kuna ubaya gani?
1469176877767.jpg
 
Kati ya vitu ambavyo JK alijipotezea heshima ni kuingia kikao cha CC na majina yake mfukoni

Pili aliyemtegemea kama atamrithi akapigwa mweleka

Tatu ni usaliti mkubwa aliyomfanyia rafiki yake wa muda mrefu Na aliyemsaidia kwa hali na mali kuingia magogoni 2005, kitu hiki hasa ndo kinachomtesa

Nne ni tumbua tumbua ya kipenzi cha wananchi Mh JPM

kwa mkutadha huu lazima anyauke na kusinyaa
Salute kubwa sana kiongozi unaweza sana kuwaza
 
Unapigania kumtetea mtu hata asiyekujua wala kukuthamini, utakuwa na matatizo ya akili siyo bure,
fisadi Lowasa hajui hata kama unaishi Dunia hii,
kwa nini usijali familia yako zaidi?
Husiye mpenda ndiyo anatajwa tajwa na kusifiwa na mamilioni ya watanzania angalia usijitie kitanzi
1469177250234.jpg
 
Back
Top Bottom