Kikwete Mzee wetu, mbona bashasha imepotea ghafla?

Kikwete Mzee wetu, mbona bashasha imepotea ghafla?

Hivi Tz ingekuwaje saa hizi kama Edo asingekatwa ccm na nani angekuwa mpinzani wake toka ukawa,je angeweza kushinda urais kupitia ccm?
 
JK atakumbukwa kuwa alikuwa mzee wa vicheko na bashasha hata pale aliposhambuliwa kwa maneno ya kuudhi.
Kwa waliomuona Jana akifungua KK kwa hakika sio yule tunayemjua. Kwanza anaonekana mgonjwa na mzee kuliko hata mzee Mwinyi.
Nini kimemsibu mzee wetu hata katika siku aliyopaswa kuonyesha furaha? Siku ya kustaafu kabisa uongozi.
Kwa muonekano wa Jana jinsi alivyo choka na ukimuangalia kwa sasa rafiki yake Edward na ukiwasimamisha pamoja waweza kudhani Jakaya ni baba na Edo ni mwanae au mdogo wake wa mbali.
Kuna nini hii sudden change?
Anajua CCM inaenda KUFA kabisa akishakabidhi
 
Nyie BAWACHA masikini hamjui hata wajibu wenu na hoja zenu za msingi mmepoteza kabisa, na maandalizi yenu ya 2025 kama mnavyohimizwa na chama chenu inaweza kuwa ndoto ya alinancha. Nyie siku hizi mnamjua sana JK? eti EDO mtoto anaonekana kijana sio mnajiombea mabaya na Sub ya Zero ya nini sasa kama EDO yuko fit.

Vipi hoja zenu za msingi kuzuia mkutano wa CCM, ufisadi, ESCROW, EPA mmemwachia nani tena? JK hamumuwezi kabisa kila fitna mlizompa mswahili yule anawapiga kanzu tu!
Uko mzima upstairs? EPA, ESCROW inawaaffect BAVICHA pekee? JPM hakukosea kusema wazee wametufikisha hapa, vijana mmebaki kuwa vi.laza tu hata hamuwezi kufikiri tena
 
Mtifuano wa chini kwa chini unaoendelea ndani ya chama, minyukano ya ishu ya kumkabidhi Magu chama watendaji wake wanavyoendelea kutumbuliwa na Magu ni vitu vyenye kutesa sana na inahitajika moyo wa kiwendawazimu mno kuwa kuvumilia bila kuathirika kiafya
 
Kama hali ni hiyo angeacha kutenda kinafiki. Kama Mwenyekiti naye atumie uwezo wake awaruhusu wajumbe wapige kura kwa Uhuru kisha wataona mwelekeo wa Mwenyekiti mpya.
 
Uko mzima upstairs? EPA, ESCROW inawaaffect BAVICHA pekee? JPM hakukosea kusema wazee wametufikisha hapa, vijana mmebaki kuwa vi.laza tu hata hamuwezi kufikiri tena

Si mnajiandaa 2025 achaneni na JK muda wake umeshapita, Nyie Bawacha mnafikiria nini Zaidi ya kuwa manyumbu tu na kuendelea kutumiwa.
 
Unapigania kumtetea mtu hata asiyekujua wala kukuthamini, utakuwa na matatizo ya akili siyo bure, fisadi Lowasa hajui hata kama unaishi Dunia hii, kwa nini usijali familia yako zaidi?
hata akikutana nae njiani hawezi kumsalimia

hao jamaa wana mtindio
 
Unapogoma kuwa mzee, ukafikisha miaka 50 bado unajiita kijana ujue itafika 70 bado unaamini ni kijana. Lakini siku haziongopi. Kama kawaida lazima ulipize denial yako.
 
Hivi Tz ingekuwaje saa hizi kama Edo asingekatwa ccm na nani angekuwa mpinzani wake toka ukawa,je angeweza kushinda urais kupitia ccm?
Unge-coment majibu ya maelezo ya mtoa mada. Maswali yako haya ungeanzisha mjadala(mada).
Ndopangekuwa patam!
 
WATANZANIA BUANA,SASA WEWE ULITAKA ASIZEEKE KWANI YEYE NI JIWE? HATA JIWE NALO LINAZEEKAGA JAMANI LIKIPIGWA NA JUA SANA LINAPASUKA LENYEWE,ACHENI MAMBO YA AJABU AJABU HAPA,WE ULITAKA AWEJE SASA,JUA JK SASA ANAKIMBILIA 70 YRS MUDA SI MREFU PENGINE AKAFIKISHA MIAKA YA AHADI YA BINADAMU YA KUISHI MIAKA 70
 
Back
Top Bottom