Kikwete: MZEE NYERERE

Kiongozi wa kwanza wa nchi huitwa Rais wa kwanza, au Waziri Kuu wa kwanza!

Kiongozi wa kwanza wa nchi yeyote huitwa founding father. Marekani: George Washington. Singapore: Lee Kuan Yew
Ghana: Kwame Nkrumah. Tanzania: Julius Nyerere. Malaysia Tunku Abdul Rahman. etc. etc.
 

Hajakosea mkuu. Yuko sawa kabisa coz waTZ wote tunafahamu JK sio Rais bali ni Rubani wa ndege za Fastjet!!
 
mkuu, nauliza ya kwa kwamba ni kwanini Ndugu Mrisho Kikwete, huwa hayuko tayari kumuita Nyerere, "Baba wa Taifa".
Maana leo amezihirisha kabisa kwa kumuita MZEE NYERFRE

Huku uswahilini kutumia neno Mzee ni kumpa mtu heshima. Mimi sioni kama anafanya kosa hapo. Mzee ina uzito zaidi kuliko Baba wa Taifa. Hata hivyo Tanzania haina baba mmoja tu wa taifa. Kwa hiyo inawezekana anajaribu kuondoa utata huo wa Mababa wa Taifa la Tanzania.
Mtu mbili ndio zilimwaga wino kuanzisha Muungano wa magumashi.

 
Kiongozi wa kwanza wa nchi yeyote huitwa founding father. Marekani: George Washington. Singapore: Lee Kuan Yew
Ghana: Kwame Nkrumah. Tanzania: Julius Nyerere. Malaysia Tunku Abdul Rahman. etc. etc.

Hawa watu hawanaga historia ya kuelewa....Sijui kama atakuwa ka kuelewa..
 
..mkuu MKALIKENYA tupe uzoefu wako ktk hili,,itifaki ikoje hapa
 
Last edited by a moderator:
Kiongozi wa kwanza wa nchi yeyote huitwa founding father. Marekani: George Washington. Singapore: Lee Kuan Yew
Ghana: Kwame Nkrumah. Tanzania: Julius Nyerere. Malaysia Tunku Abdul Rahman. etc. etc.
Si kweli!

Si kila nchi inamwita kiongozi wake wa kwanza founding father!
..kajipange upya halafu rudi jamvini.
 
Hivi Nyerere huyu anayetukuzwa kiasi hichi ni Nusu Mungu? Tuache kuabudi watu, hata mimi siuoni huo ubaba wa taifa mnaoutaka utukuzwe kama dini. akiitwa Mzee Nyerere ndio hasa anastahili.
..........majibu yako rahisi sana ndg, naam una jambo moja ama mawili hivi, kwanza unafikiri chini ya kiwango, (hapa sijui ni kwa makusudi ama umeamua ufikiri hivyo) na jambo la pili inawezekana kuna mtu/watu wamefikiri badala yako, kwenye nchi ya kufikirika watu kama wewe huhukumiwa kunyongwa........ mchana mwm ndugu
 
Si kweli!

Si kila nchi inamwita kiongozi wake wa kwanza founding father!
..kajipange upya halafu rudi jamvini.
Kama si kweli, mimi nimetoa mifano ya nchi ambako ukweli huo umetamalaki, wewe unasema hewa tu. Wewe ndiye unayepaswa kujipanga.
 
G


Pengine hao walioanzisha TAA na AA walikuwa baba wa taifa hilo waliloliongoza. Sijui walikuwa viongozi wa kwanza wa taifa gani? Naomba utusaidie.

Kama jina la TAA linavyojieleza. Ni taifa halali la Tanganyika.
 
 
Hilo la viongozi wa dini na chaguo la Mungu ni mtandao tu ulioundwa kwenye maeneo yote kwa kutumia njia halali na haramu.

kwahiyo kama ni mtandao uliundwa, mlikuwa radhi kuridhia halali ichanganywe na haramu.? Na uliundwa kwa manufaa yapi na yanami??? Na je kama ni mtandao uliundwa bado upo hai mpaka leo.? Na kama haupo hai ni kwa nini?
 

kinachovutia zaidi kwa hapa bongo mtu awahiye kusema ukweli aliousikia au kuuona kwa jambo ovu au lililotarajiwa kufichwa mtu huyo huitwa Mmbeya. Lakini kwa mantiki nyingine anakua amesaidia habari kujulikana. Mfn mizuri ipo wazi kwenye familia zetu za kiswahili.

Sasa tukija kwenye suala la Unafiki na Ufitini ningeomba unibainishie sifa za mtu wa aina hiyo, alafu mimi na wewe tujiweke kwenye mzani tuone ni nani ataangukia kwenye sifa za mbea na mnafiki.
 
Kama jina la TAA linavyojieleza. Ni taifa halali la Tanganyika.[/QUOTE]

Sasa tatizo liko wapi? Kama hao walikuwa ni baba wa taifa lililoitwa "Taifa halali la Tanganyika", hakuna anayebisha. Mwalimu Nyerere si baba wa taifa halali la tanganyika.
 
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…