Kikwete: MZEE NYERERE

Kwani baba yako mzazi huo ubaba alipewa na nani, na je hicho cheo kwenye katiba kipo? Je kuna ulazima wa kila mtoto hapo kwenu kumuita baba yenu baba? Na ipi hukumu ya kutomuita baba yenu mzazi BABA?

Good analysis. Mwenye mawazo ya kijuha zama hizi hujibiwa kijuha.
 
Kwani baba yako mzazi huo ubaba alipewa na nani, na je hicho cheo kwenye katiba kipo? Je kuna ulazima wa kila mtoto hapo kwenu kumuita baba yenu baba? Na ipi hukumu ya kutomuita baba yenu mzazi BABA?

Kwa maswali yako BUTU umethibitisha kwamba si LAZIMA mtu yeyote kumwita Marehemu Nyerere baba, ni maamuzi binafsi tu.
 
UDOCTA wa kupachikwa hauna NGUVU!!!!!.....ndo maaana watu wanasahau sahau kulitaja!!!

!kasome vizuri cv ya muheshimiwa Rais Dr. J.K , you gave me cancer with your dumb :A S angry: replay
 
Inaonyesha hata maana ya Baba wa Taifa hujui, inasikitisha na kushangaza,
Naomba nikuulize swali, Wewe ulihusishwa ktk kumuita Baba yako mzazi Mkuu wa familia.

Ikusikitishe na ikushangaze. Kuna watu walianza kuunganisha Watanganyika kabla yake. Yeye Nyerere aliwakuta hawa wameadvance kiasi cha kutosha na wameweka mtandao wa chama Tanganyika nzima. Nyerere akautumia tu huo mtandao hivyo hastahili kupewa heshima ya kuwa Baba wa Taifa.
 
acha na kikwete maana katuelekezea upanga ukitanguliza mdomo ataanza nawewe mwache amalizie time lake
 
Tatizo lenu hamuwi wawazi, unaposema kuwa Nyerer aliwakuta watu wameadvance na kuweka mtandao chama Tanganyika nzima, hivyo Nyerere hastahili kupewa heshima ya Baba wa Taifa una maanisha yupo unayemjua wewe/nyie kuwa anastahili kuitwa baba wa Taifa tofauti na Nyerere, ni vizuri ukatutajia ili na sisi tumuite huyo ndio baba wa Taifa,
 
Kwa maswali yako BUTU umethibitisha kwamba si LAZIMA mtu yeyote kumwita Marehemu Nyerere baba, ni maamuzi binafsi tu.
Hata hivyo hakuna mtu anayelazimishwa kumuita baba yake mzazi BABA, ni busara za mtu binafsi tu.
 
Hata hivyo hakuna mtu anayelazimishwa kumuita baba yake mzazi BABA, ni busara za mtu binafsi tu.

we kweli mlevi utamfananishaje baba angu na Nyerere? Nyerere si baba yangu bali alikuwa sawa na babu tuu!
 
we kweli mlevi utamfananishaje baba angu na Nyerere? Nyerere si baba yangu bali alikuwa sawa na babu tuu!
Huo ni mfano, Nyerere sio baba yako ni baba wa Taifa, ndio maana hatusemi umuite baba yako, tunakushauri umuite baba wa Taifa.
Unavyogoma kumuita hivyo, nikakupa mfano, ni sawa na mtoto kugoma kumuita baba yake mzazi BABA.
 
baba wa taifa kwa kifungu gani cha katiba?
 
Si kila kiongozi wa dini yupo hapo kiimani zaidi, wengine wapo kimaslahi binafsi zaidi (si wito).
 
baba wa taifa kwa kifungu gani cha katiba?
Kweli wewe darasani ulikuwa unaelewa kiurahisi?! Nimekujibu kwa kukupa mfano,Baba yako mzazi ni baba yako kwa kutumia kifungu kipi cha katiba?, Baba wa Taifa maana yake ni founder of the nation, yule aliyekuwa kiongozi wa kwanza wa taifa huru,
Kama una swali jingine uliza.
 
Huwa namshangaa yeye anapojiita eti Dr. Dokta gani hawezi hata kuongea!!!! Halafu udokta wenyewe wa kupewa chuo cha kata UDOM, ptuuuuuu!!!
 
Unapoteza muda wako bure kumwelewesha mtu wa aina hii. Si ndiyo hao hao wanaojiita eti Dr!!!! Alipovalishwa kofia ya PhD ya usanii na msanii mwenzie pale chuo cha kata UDOM alitoka pale anashangilia kama zuzu, tehe tehe tehe !!!!
 
Inawezekana alishawahi kulichapa kaburi la 'Mzee' Nyerere?
 
Unapoteza muda wako bure kumwelewesha mtu wa aina hii. Si ndiyo hao hao wanaojiita eti Dr!!!! Alipovalishwa kofia ya PhD ya usanii na msanii mwenzie pale chuo cha kata UDOM alitoka pale anashangilia kama zuzu, tehe tehe tehe !!!!

kama ulivyo ZUZU wewe na digrii yako ya ch*****u@@@pi uliyoipata Unrecognised university
 
Unapoteza muda wako bure kumwelewesha mtu wa aina hii. Si ndiyo hao hao wanaojiita eti Dr!!!! Alipovalishwa kofia ya PhD ya usanii na msanii mwenzie pale chuo cha kata UDOM alitoka pale anashangilia kama zuzu, tehe tehe tehe !!!!
Kweli mkuu, huyu jamaa atanichosha, sasa hivi akiuliza tena namkaushia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…