Kikwete: Mzee Mwinyi ndio alileta Mfumo wa Vyama Vingi, CCM itashinda 2025 na 2030 kwa busara za mzee Mwinyi kukubali Mabadiliko Wakati Ule!

Sasa ngoja aende akajibu kwa Mungu yakuwa duniani kaja kuifanya Ccm kutawala milele na sio Laillah illah laa
 
Rais Mstaafu Kikwete amesema mabadiliko ya Kiuchumi na Kisiasa nchini yameletwa na mzee Mwinyi

Kikwete amesema Mwinyi ndio alishauri yafanyike mabadiliko Wakati 80% ya Watanzania bado Wana Imani na CCM

Busara hizo ndio zimeisaidia CCM kuendelea kushinda 2025, 2030 na kuendelea

Source: TBC

Yaani tayari KIkwete anawazia 2030 .... I hope hamuandai Mwanae kisaikolojia kuwa mgombea.

Kwa jinsi anavyodai JK ni kwamba hata chaguzi wanaziiba kwa ajili ya kuendeleza amani na utulivu nchini. Haya maCCM tunahitaji vita kweli kweli kuyakabili.
 
Rais Mstaafu Kikwete amesema mabadiliko ya Kiuchumi na Kisiasa nchini yameletwa na mzee Mwinyi

Kikwete amesema Mwinyi ndio alishauri yafanyike mabadiliko Wakati 80% ya Watanzania bado Wana Imani na CCM

Busara hizo ndio zimeisaidia CCM kuendelea kushinda 2025, 2030 na kuendelea

Source: TBC
Mko msibani mnawaza kushinda chaguzi, hakuna Maji, HAKUNA Umeme, HAKUNA, mafuta, hakuna Huduma za Afya, mnawaza kushinda chaguzi. Akili zenu sijui ziko wapi.....
 
Kaeleza vyema kwny kitabu chake, kazi kubwa ya kushawishi kamati kuu ya CCM kuridhia mfumo Vyama vingi ilifanywa na Kamati aliyounda chini ya Mzee Kingunge Ngombale alieshauri bora wavianzishe vyama vingi ili wavisimamie kwa kuratibu kuliko vikija kwa kasi ya mabadiliko vitawashinda kuvi control na keki wakaweza kuviratibu hadi leo tuna enjoy Siasa za Chadema na ACT wazalendo hadi Mabalozi hawaamini kinachoendelea jinsi Siasa za Nchi hii zinavyoenda

Nyerere alipewa tu zile sifa kwa heshma tu
Spinning...
 
Rais Mstaafu Kikwete amesema mabadiliko ya Kiuchumi na Kisiasa nchini yameletwa na mzee Mwinyi

Kikwete amesema Mwinyi ndio alishauri yafanyike mabadiliko Wakati 80% ya Watanzania bado Wana Imani na CCM

Busara hizo ndio zimeisaidia CCM kuendelea kushinda 2025, 2030 na kuendelea

Source: TBC
Sisi tunawaza sukari akinakikwete wanawaza urais na familia zao!
 
Rais Mstaafu Kikwete amesema mabadiliko ya Kiuchumi na Kisiasa nchini yameletwa na mzee Mwinyi

Kikwete amesema Mwinyi ndio alishauri yafanyike mabadiliko Wakati 80% ya Watanzania bado Wana Imani na CCM

Busara hizo ndio zimeisaidia CCM kuendelea kushinda 2025, 2030 na kuendelea

Source: TBC
Namuelewa kikwete!

Mafumbo mazito yaani,upinzani utaisaidia ccm kushinda kwa kukukbali urais Kwa ccm lakini uwaziri mkuu Kwa upinzani hasa Mbowe!!

Namuelewa sana
 
Mwandishi wa Habari akajaribu kumuuliza swali la ziada Jakaya kuwa wewe sasa ndio Rais Mstaafu pekee ukiebakia, kabla hajamaliza akamjibu swali hilo halina maana huyooo akaelekea kwny gari lake, mwandishi akabaki kapigwa na butwaa
Labda yeye anadhani hajastaafu
 
Rais Mstaafu Kikwete amesema mabadiliko ya Kiuchumi na Kisiasa nchini yameletwa na mzee Mwinyi

Kikwete amesema Mwinyi ndio alishauri yafanyike mabadiliko Wakati 80% ya Watanzania bado Wana Imani na CCM

Busara hizo ndio zimeisaidia CCM kuendelea kushinda 2025, 2030 na kuendelea

Source: TBC
Kumbe tushapita 2030 na hatuna habari.
Miaka iko mbio sana aiseeeh
 
Ee Mwenyezi pita na huyu nae akapumzike na wenzie labda ikibidi waanzishe serikali yao huko kuzimu.
 
Back
Top Bottom