Mulhat Mpunga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 27,263
- 16,288
"IN every man chest there ia a beating heart
so soon will found out who is a teally Revolutionary,

Naibu waziri wa viwanda na biashara, Lazaro Nyalandu hafai kurudishwa kwenye baraza hilo iwapo rais Kikwete atafanya mabadiliko hayo. Lazaro ni fisadi aliyejificha kwenye ubavu wa kanisa,mbinafsi na anayetumia watoto yatima na watoto wa maskini kupata misaada toka marekani na kisha huzitumia funds hizo kwa manufaa yake mwenyewe kama kujenga jumba la kifahari huko Arusha, sanawari juu katika kijiji cha Ilkerevi.
Kwa mtu anayepata pesa kwa jasho lake kamwe hawezi kujenga jumba mfano wa ikulu halafu jumba lenyewe haikaliwi na watu sababu yeye na familia yake wanaishi Dar es Salaam, arusha wanaenda na kukaa siku chache. Mimi ni mkazi wa Dar na Laz ni rafiki yangu namjua ndani nje. Pesa Laz alizotumia kwa jumba hilo si pesa za kawaida,na alipohamia alihamia na kila kitu kipya huku akifanya tafrija kali ya kuukaribisha mwaka 2012 na kuwaalika marafiki zake.
How i wish angetumia nguvu na akili anayotumia kwa maendeleo yake binafsi kwa wakazi wa jimbo lake wanaokaa gizani kwa kuahidiwa umeme muda mrefu bila mafanikio.
Mbaya zaidi ni jinsi anavyowatumia watoto wa maskini na yatima kwa kuwapiga picha na kuwaahidi pesa za shule bila mafanikio .You ll pay for this Lazaro, one day, you have kids too,what you are doing to others will be done to your offspring one day, kumbuka biblia inasema "NITAWAPATILIZA WANA MAOVU YA BABA ZAO"!
Lazaro anatumia ujanja wa kihunihuni zaidi ambao haupaswi kutumiwa na mtanzania yeyote leave alone waziri.Hana weledi wa kuwatumikia watanzania kabisa.
I SUBMIT
You dont know Lazaro well my dear! nilichokisema ni kweli na yeye mwenyewe anaujua ukweli!

Makamanda bana...muwe mnaweka akiba ya manenon. Leo hii Nyalandu anakuja kwenu.kumbe mnafanana, nyalandu? tope yule? usijidhalilishe mbele ya jamii ndugu! sorry inawezekana wewe ndiye nyalandu, hufai!!!!!!!!!
Makamanda akiba ya maneno ni muhimu sanakwa sababu ni ccm,naamini ni mwizi in one way or the other,mwakyembe na sitta nao wezi.
Ameona kutokufaa kwake kunasababishwa na ccm, ameachana na liccm.Makamanda bana...muwe mnaweka akiba ya manenon. Leo hii Nyalandu anakuja kwenu.
Itakuwa ni watoto wetu sote labda alianza na mtoto wa jamaa yetu.Jobe mbona unajitahidi kusema watoto wetu kisha unaonekana ukopekeyako?,SEMA LAZARO AMEKULA PESA YA WATOTO WAKO,NA SIYO WATOTO WETU,MIMI NITAKUELEWA
Tayari bavicha mna madodoki Na omo Na ndoo za majiAmeona kutokufaa kwake kunasababishwa na ccm, ameachana na liccm.
Amefanyika kuwa mpya!
sababu katoka ccm atatubu dhambi na kuacha kuendelea kuibaMakamanda akiba ya maneno ni muhimu sana
Naona dua yako ilipokelewa, and now He is paying for it!! Ile albadri imeruka naye kwa kukimbia nyadhifa zote na kujiunga na wezi wenzake! Na bado!Naibu waziri wa viwanda na biashara, Lazaro Nyalandu hafai kurudishwa kwenye baraza hilo iwapo rais Kikwete atafanya mabadiliko hayo. Lazaro ni fisadi aliyejificha kwenye ubavu wa kanisa,mbinafsi na anayetumia watoto yatima na watoto wa maskini kupata misaada toka marekani na kisha huzitumia funds hizo kwa manufaa yake mwenyewe kama kujenga jumba la kifahari huko Arusha, sanawari juu katika kijiji cha Ilkerevi.
Kwa mtu anayepata pesa kwa jasho lake kamwe hawezi kujenga jumba mfano wa ikulu halafu jumba lenyewe haikaliwi na watu sababu yeye na familia yake wanaishi Dar es Salaam, arusha wanaenda na kukaa siku chache. Mimi ni mkazi wa Dar na Laz ni rafiki yangu namjua ndani nje. Pesa Laz alizotumia kwa jumba hilo si pesa za kawaida,na alipohamia alihamia na kila kitu kipya huku akifanya tafrija kali ya kuukaribisha mwaka 2012 na kuwaalika marafiki zake.
How i wish angetumia nguvu na akili anayotumia kwa maendeleo yake binafsi kwa wakazi wa jimbo lake wanaokaa gizani kwa kuahidiwa umeme muda mrefu bila mafanikio.
Mbaya zaidi ni jinsi anavyowatumia watoto wa maskini na yatima kwa kuwapiga picha na kuwaahidi pesa za shule bila mafanikio .You ll pay for this Lazaro, one day, you have kids too,what you are doing to others will be done to your offspring one day, kumbuka biblia inasema "NITAWAPATILIZA WANA MAOVU YA BABA ZAO"!
Lazaro anatumia ujanja wa kihunihuni zaidi ambao haupaswi kutumiwa na mtanzania yeyote leave alone waziri.Hana weledi wa kuwatumikia watanzania kabisa.
I SUBMIT
Amerudisha hayo majumba na mali zote kwa yatima? Na twiga wetu atawarudisha?Ameona kutokufaa kwake kunasababishwa na ccm, ameachana na liccm.
Amefanyika kuwa mpya!
Mkuu upo???Kila kukicha 'hate prechers' wanaongezeka humu jukwaani, haswa watu wenye roho ya kwanini!. Dua la kuku halimpati mwewe!.
Hahaaaaaaa halafu leo anamtukanaJobe mbona unajitahidi kusema watoto wetu kisha unaonekana ukopekeyako?,SEMA LAZARO AMEKULA PESA YA WATOTO WAKO,NA SIYO WATOTO WETU,MIMI NITAKUELEWA