Kikwete muondoe Lazaro Nyalandu kwenye baraza la mawaziri, hafai

"IN every man chest there ia a beating heart
so soon will found out who is a teally Revolutionary,
 
"IN every man chest there iS a beating heart
so soon will found out who is a Really Revolutionary,
 
Naibu waziri wa viwanda na biashara, Lazaro Nyalandu hafai kurudishwa kwenye baraza hilo iwapo rais Kikwete atafanya mabadiliko hayo. Lazaro ni fisadi aliyejificha kwenye ubavu wa kanisa,mbinafsi na anayetumia watoto yatima na watoto wa maskini kupata misaada toka marekani na kisha huzitumia funds hizo kwa manufaa yake mwenyewe kama kujenga jumba la kifahari huko Arusha, sanawari juu katika kijiji cha Ilkerevi.

Kwa mtu anayepata pesa kwa jasho lake kamwe hawezi kujenga jumba mfano wa ikulu halafu jumba lenyewe haikaliwi na watu sababu yeye na familia yake wanaishi Dar es Salaam, arusha wanaenda na kukaa siku chache. Mimi ni mkazi wa Dar na Laz ni rafiki yangu namjua ndani nje. Pesa Laz alizotumia kwa jumba hilo si pesa za kawaida,na alipohamia alihamia na kila kitu kipya huku akifanya tafrija kali ya kuukaribisha mwaka 2012 na kuwaalika marafiki zake.
How i wish angetumia nguvu na akili anayotumia kwa maendeleo yake binafsi kwa wakazi wa jimbo lake wanaokaa gizani kwa kuahidiwa umeme muda mrefu bila mafanikio.

Mbaya zaidi ni jinsi anavyowatumia watoto wa maskini na yatima kwa kuwapiga picha na kuwaahidi pesa za shule bila mafanikio .You ll pay for this Lazaro, one day, you have kids too,what you are doing to others will be done to your offspring one day, kumbuka biblia inasema "NITAWAPATILIZA WANA MAOVU YA BABA ZAO"!

Lazaro anatumia ujanja wa kihunihuni zaidi ambao haupaswi kutumiwa na mtanzania yeyote leave alone waziri.Hana weledi wa kuwatumikia watanzania kabisa.

I SUBMIT

Sawa tumekusikia,swali je tokea awe waziri kuna kashfa yeyote ya ufisadi aliyoifanya ambayo imezidisha kasi ya umaskini wetu kama bill kubwa za umeme zinavyotutesa?
 
Naibu waziri wa viwanda na biashara, Lazaro Nyalandu hafai kurudishwa kwenye baraza hilo iwapo rais Kikwete atafanya mabadiliko hayo. Lazaro ni fisadi aliyejificha kwenye ubavu wa kanisa,mbinafsi na anayetumia watoto yatima na watoto wa maskini kupata misaada toka marekani na kisha huzitumia funds hizo kwa manufaa yake mwenyewe kama kujenga jumba la kifahari huko Arusha, sanawari juu katika kijiji cha Ilkerevi.

Kwa mtu anayepata pesa kwa jasho lake kamwe hawezi kujenga jumba mfano wa ikulu halafu jumba lenyewe haikaliwi na watu sababu yeye na familia yake wanaishi Dar es Salaam, arusha wanaenda na kukaa siku chache. Mimi ni mkazi wa Dar na Laz ni rafiki yangu namjua ndani nje. Pesa Laz alizotumia kwa jumba hilo si pesa za kawaida,na alipohamia alihamia na kila kitu kipya huku akifanya tafrija kali ya kuukaribisha mwaka 2012 na kuwaalika marafiki zake.
How i wish angetumia nguvu na akili anayotumia kwa maendeleo yake binafsi kwa wakazi wa jimbo lake wanaokaa gizani kwa kuahidiwa umeme muda mrefu bila mafanikio.

Mbaya zaidi ni jinsi anavyowatumia watoto wa maskini na yatima kwa kuwapiga picha na kuwaahidi pesa za shule bila mafanikio .You ll pay for this Lazaro, one day, you have kids too,what you are doing to others will be done to your offspring one day, kumbuka biblia inasema "NITAWAPATILIZA WANA MAOVU YA BABA ZAO"!

Lazaro anatumia ujanja wa kihunihuni zaidi ambao haupaswi kutumiwa na mtanzania yeyote leave alone waziri.Hana weledi wa kuwatumikia watanzania kabisa.

I SUBMIT

Mkuu Lzr tunamjua vzr tangu tukiwa Ilboru sec, ajabu ya dunia mtu hakuwa na mwelekeo waru-waru tu, sisi tulitegemea watu kama kina joseph mpuya, baraka shelukindo, victor chipeta, peter samata, anthon mbushi nk eti mkapa lowasa na jk ndo wamemuona anafaa, ccm nchi usanii tu
 
wabongo bwana mnamaind NYUMBA kweli inaonyesha kila mkilala mnaota NYUMBA,Mind NYUMBA kujenga ni wito kutoka MBINGUNI,sio kama malaria basi kila mtu ataumwa (kuwa nayo)!!!!!!.
 
acheni umbea Nyalandu hana uraia wa nchi mbili, nilikua naye mwezimoja uliopita akisafiri kuelekea marekani na alikua na passport ya Tanzania na alikua na viza ya kuingia nchi hiya kama mtanzania mwingine, kama ange kua anauraia wa nchi huyo basi asinge hitaji viza wala passport ya Tanzania. Hiyo nyumba ambaya mnaiongelea mbona ni yakawaida sana na sherehe ambayo unaisemea ilikua niya kawaida sana kama vile ambavyo mtu wakawaida navyo weza kufanya sherehe ya kufungua nyumba yake na kualika marafiki na wachungaji kubariki
Chakushangaza asilimia kumbwa ya watu waliokua wamealikwa kwenye shrehe hiyo walikua in majirani na watu wakawaida sana.........
kumbukeni "laana isiyo a sababu haimpati mtu" hizo laana zina weza kuwarudia ninyi wenyewe....
 
kumbe mnafanana, nyalandu? tope yule? usijidhalilishe mbele ya jamii ndugu! sorry inawezekana wewe ndiye nyalandu, hufai!!!!!!!!!
Makamanda bana...muwe mnaweka akiba ya manenon. Leo hii Nyalandu anakuja kwenu.
 
Jobe mbona unajitahidi kusema watoto wetu kisha unaonekana ukopekeyako?,SEMA LAZARO AMEKULA PESA YA WATOTO WAKO,NA SIYO WATOTO WETU,MIMI NITAKUELEWA
Itakuwa ni watoto wetu sote labda alianza na mtoto wa jamaa yetu.
 
Naibu waziri wa viwanda na biashara, Lazaro Nyalandu hafai kurudishwa kwenye baraza hilo iwapo rais Kikwete atafanya mabadiliko hayo. Lazaro ni fisadi aliyejificha kwenye ubavu wa kanisa,mbinafsi na anayetumia watoto yatima na watoto wa maskini kupata misaada toka marekani na kisha huzitumia funds hizo kwa manufaa yake mwenyewe kama kujenga jumba la kifahari huko Arusha, sanawari juu katika kijiji cha Ilkerevi.

Kwa mtu anayepata pesa kwa jasho lake kamwe hawezi kujenga jumba mfano wa ikulu halafu jumba lenyewe haikaliwi na watu sababu yeye na familia yake wanaishi Dar es Salaam, arusha wanaenda na kukaa siku chache. Mimi ni mkazi wa Dar na Laz ni rafiki yangu namjua ndani nje. Pesa Laz alizotumia kwa jumba hilo si pesa za kawaida,na alipohamia alihamia na kila kitu kipya huku akifanya tafrija kali ya kuukaribisha mwaka 2012 na kuwaalika marafiki zake.
How i wish angetumia nguvu na akili anayotumia kwa maendeleo yake binafsi kwa wakazi wa jimbo lake wanaokaa gizani kwa kuahidiwa umeme muda mrefu bila mafanikio.

Mbaya zaidi ni jinsi anavyowatumia watoto wa maskini na yatima kwa kuwapiga picha na kuwaahidi pesa za shule bila mafanikio .You ll pay for this Lazaro, one day, you have kids too,what you are doing to others will be done to your offspring one day, kumbuka biblia inasema "NITAWAPATILIZA WANA MAOVU YA BABA ZAO"!

Lazaro anatumia ujanja wa kihunihuni zaidi ambao haupaswi kutumiwa na mtanzania yeyote leave alone waziri.Hana weledi wa kuwatumikia watanzania kabisa.

I SUBMIT
Naona dua yako ilipokelewa, and now He is paying for it!! Ile albadri imeruka naye kwa kukimbia nyadhifa zote na kujiunga na wezi wenzake! Na bado!
 
Back
Top Bottom