Kikwete mtuhumiwa, tufanye nini?

Nukuu kutoka mwanaharisi 30 desemba 2011 by Kondo Tutindaga.

""Suala la umeme linagusa usalama wa nchi na kwa kuonekana kuwa mhujumu wa usalama wa nchi na watu wake, ni suala lisiloweza kufumbiwa macho. Ikumbukwe kuwa kelele za maadili ya uongozi katika taifa letu yamekuwa hayashughriliwi na sasa twaweza kuamini ni kwa sababu Rais wetu anajishuku kuwa alishughulikia au kusimamia maadili ya uongozi yataibuka masuala mengi ya kashfa zinazomhusu katika eneo hili nyeti la maadili ya uongozi."" mwisho wa nukuu.

Hii imenitia homa naenda kulala , soma habari kamili kwenye gazeti Mwanaharisi ukurasa wa saba

Zaidi ya kudhihirisha ukurya wako, hakuna substance katika thread hii. Bora umeamua kwenda kulala kabla hatujakufurusha.
 
Back
Top Bottom