Precise Pangolin
JF-Expert Member
- Jan 4, 2012
- 13,055
- 6,777
Kwani vitu vyote alivyoahidi JK 2010 vilikuwa kwenye Ilani ya CCM? Mfano Machinga Complex kila wilaya ya Mkoa DSM ilikuwa kwenye Ilani wewe Nyambaf?mkuu, hawa hawajui hata maana ya ilani. hawajui pia kama serikali ya ccm inatekeleza ilani yake
siku CCM itaacha kuwatetea
mafisadi ndio siku hiyo hata mafanikio yake yataonekana ambapo siku hiyo
haitafika!
jk amefanya mengi ya maana ila yanachafuliwa na sifa mbaya ya chama
chake
Kwani vitu vyote
alivyoahidi JK 2010 vilikuwa kwenye Ilani ya CCM? Mfano Machinga Complex
kila wilaya ya Mkoa DSM ilikuwa kwenye Ilani wewe Nyambaf?
Mipasho hiyo hiyo ndiyo itakayowaumbua.
wa kwanza kukumbuka ni dr slaa na freeman mbowe. hawa watu kila kukicha wanamtukana lakini kimoyomoyo wanampongeza. nakumbuka siku ile wakati JK alipofanya ziara yake jimboni kwa mbowe aliposhindwa kuzuia hisia zake na kutamka maneno yafuatayo: mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni. Jk kajenga marabara nzuri jimboni kwangu kuliko marais waliomtangulia. mwisho wa kunukuu
Tunasubiri reli ya kati ya kisasa - train iendayo kwa kasi.
mkuu, hawa hawajui hata maana ya ilani. hawajui pia kama serikali ya ccm inatekeleza ilani yake
ukapimwe, so mzima!!!Asante Rais Kikwete kwa kauli yako hiyo;
.......Halafu nyie hapa ubaoni tunawaambia kila siku kuwa hakuna zaidi ya ccm
lakini mnajitia wazimu na kutoa matusi na kashfa. Hata hao mnawataja kuwa marais wenu wajao nao
pia wanalipwa posho zao na serikali iliyoko madarakani.
Heshima sana kwa Rais Kikwete, Serikali yangu na Chama Cha Mapinduzi.
.......... chama
mbona lissu amepimwa mirembe na anatumia dawa sisi hatusemiukapimwe, so mzima!!!
umeandika kwa kifupi na nimaneno yenye hekima sana, safi!Kiongozi mzuri ni yule anayejiweka nyuma wakati wa kufurahia mafanikio ,na anaejiweka mbele wakati wa mapambano kwenye kipindi cha shida! Ni kwa namna hiyo tu watu wanaweza kupima ubora wa uongozi wake,na si yeye mwenyewe kujipima ubora wa uongozi wake" - Nelson Mandela
Tunasubiri miaka 2 Kigoma iwe kama Dubai
ni kweli hawa wote waliopita walizingua tuna subiri rais wa kweli, umenena mzee!Chadema wanafanya siasa tu ila wanajua kuwa hakuna raisi bora katika historia ya nchi yetu ya tanzania.