1. Achomekewa kipengele kwenye sheria ya gharama ya uchaguzi bila kujua , na kuisaini kwa mbwembwe kabisa.
2.Aacha ziara ya kiserikali Mwanza ili awahi kupiga picha na Kaka,Robhinyo pamoja na Luis Fabiano (timu ya taifa ya brazil)
3.Awaita waandishi wa Habari ikulu, kuwaonyesha jezi aliyopewa na Rais WA TIMU YA MPIRA WA MIGUU (real madrid)
4. Nchi ina bajeti mbili Yawezekana alikuwa hajui. (kama haikuwa ni dili)
5.Kampeni kasimamia Mkwewe na Mtoto wakati CCM, ni taasisi iliyo na viongozi .
6.Aridhia kumuondoa Bashe, na akijua wazi ni raia ili kumridhisha mtomto wake.
7.Amekiri hadharani kuwa mafisadi wananguvu kuliko SERIKALI. (wakati ukweli wameanzia maisha hapahapa udhaifu wao unajulikana)
8.Hajui kwa nini NCHI ALIYOOMBA ridhaa kwa wananchi NI MASIKINI.
9.Hajui kwa nini CCM imeshindwa uchaguzi.
10.Ametuletea picha akiwa amepanda BEMBEA Jamaica eti NDIO KUAMASISHA UWEKEZAJI
11.Anajisifia kuhusu nchi kuwa tegemezi badala ya kujitegemea Awaambia wananchi wa makete "hii simu niliyokuwa naongea nayo hapa, ni Balozi wa Marekani Alfonso, yeye kaambiwa na Rais wa Marekani kuwa ataendelea KUTOA MISAADA".
Hayo ni yale ya kizembe, sijui mtazamao wako....