Ndallo
Ni tetesi gani unazisikia Mtaani? au ni zile za mama...................? enhe
huyo mama moja kwa moja! waziri wa ............................asili. nchi imeshauzwa hii shauri yenu!! hizo ni kerere za chura hazimzuii tembo kunywa maji!!Hatimaye tunafuatilia kwa ukaribu mkubwa sana uteuzi wa wabunge na mawaziri wa kulitumikia taifa la Tanzania ambao Muheshimiwa na Raisi wa Jamuhuri ya muungano wa TZ ndugu Jakaya Mrisho Kikwete. Tumeshaona kateua wabunge watatu akiwapo aliyekua ni mbunge na waziri aliyewahi kushika wizara nyeti ndani ya nchi hii. Jamani naomba kupata angalau jibu kama mtu alishashika wizara nyeti na akaboronga! Lakini kiongozi wa nchi bado akaona bado anafaa na kumpa ubunge wa kuteuliwa ni kwamba Raisi hakuona alichofanya huko nyuma? Au ndio tuseme muheshimiwa Raisi analipa fadhila kama ninavyosikia tetesi mitaani? Kule bungeni anakwenda kufanya nini? na Raisi kamteua kwenda kumuwakilisha nani? Najaribu kutafakari kwa kina katika zile wizara nyeti kama vile:Naombeni mchango wenu kwakua sipati jibu!!!:sad:
- Wizara ya Afya?
- Wizara ya fedha?
- Wizara ya mali asili na utalii?
mama mkwe....!:hippie::hippie:
hivi ile tofauti ya umri wa kikwete na yule binti...! kikwete sio FATAKI kweli..??
huyo mama moja kwa moja! waziri wa ............................asili. nchi imeshauzwa hii shauri yenu!! hizo ni kerere za chura hazimzuii tembo kunywa maji!!
ndio hivyo tena tuliambiwa tupigie kura vya mbadala lakini naona sisi wenyewe tuna husudisha kuibiwa. hii nikuonyesha ccm haiabadilika wananchi lazima waelewe, hivyo vyama mbadalla waongeze juhudi za kuwa patia elimu ya uraia wa tanzania wengi.n kuwaambia adui a watanzania kwa sasa si udini au ukabili bali ni ufisudi aka ufisadi.Hatimaye tunafuatilia kwa ukaribu mkubwa sana uteuzi wa wabunge na mawaziri wa kulitumikia taifa la Tanzania ambao Muheshimiwa na Raisi wa Jamuhuri ya muungano wa TZ ndugu Jakaya Mrisho Kikwete. Tumeshaona kateua wabunge watatu akiwapo aliyekua ni mbunge na waziri aliyewahi kushika wizara nyeti ndani ya nchi hii. Jamani naomba kupata angalau jibu kama mtu alishashika wizara nyeti na akaboronga! Lakini kiongozi wa nchi bado akaona bado anafaa na kumpa ubunge wa kuteuliwa ni kwamba Raisi hakuona alichofanya huko nyuma? Au ndio tuseme muheshimiwa Raisi analipa fadhila kama ninavyosikia tetesi mitaani? Kule bungeni anakwenda kufanya nini? na Raisi kamteua kwenda kumuwakilisha nani? Najaribu kutafakari kwa kina katika zile wizara nyeti kama vile:Naombeni mchango wenu kwakua sipati jibu!!!:sad:
- Wizara ya Afya?
- Wizara ya fedha?
- Wizara ya mali asili na utalii?