Ndallo
JF-Expert Member
- Oct 1, 2010
- 7,619
- 4,292
Hatimaye tunafuatilia kwa ukaribu mkubwa sana uteuzi wa wabunge na mawaziri wa kulitumikia taifa la Tanzania ambao Muheshimiwa na Raisi wa Jamuhuri ya muungano wa TZ ndugu Jakaya Mrisho Kikwete. Tumeshaona kateua wabunge watatu akiwapo aliyekua ni mbunge na waziri aliyewahi kushika wizara nyeti ndani ya nchi hii.
Jamani naomba kupata angalau jibu kama mtu alishashika wizara nyeti na akaboronga! Lakini kiongozi wa nchi bado akaona bado anafaa na kumpa ubunge wa kuteuliwa ni kwamba Raisi hakuona alichofanya huko nyuma? Au ndio tuseme muheshimiwa Raisi analipa fadhila kama ninavyosikia tetesi mitaani? Kule bungeni anakwenda kufanya nini? na Raisi kamteua kwenda kumuwakilisha nani? Najaribu kutafakari kwa kina katika zile wizara nyeti kama vile:

- Wizara ya Afya?
- Wizara ya fedha?
- Wizara ya mali asili na utalii?