teh teh, jk huyuhuyu au mwingine?Chadema wakisikia jk mavi debe wanamgwaya kama simba slaa halali anamwaza jk tu.
safi sana jk kaja mwanza kutufungulia mitambo ya umeme ya megawati 60 nyakato sasa hatuna tena mgao mwanza. unatutosheleza mwanza yote na musoma pia. hongera jk
Mmmmhhhhh!!!!??.....Hongera JK kipenzi cha Watanzania.
kinachotakiwa hapo ni kuonyesha hasira zetu kwa kutokwenda kumsikilizaNikesho katika uwanja wa Furahisha kuanzia saa kumi jioni...usafiri utakuwepo.Source:Gari la matangazo.
Chadema wakisikia jk mavi debe wanamgwaya kama simba slaa halali anamwaza jk tu.
Najivunia Rais wangu Kikwete..
Hongera JK kipenzi cha Watanzania.