Tatizo huwa ni usafiri baada ya mkutano kumalizika.Nikesho katika uwanja wa Furahisha kuanzia saa kumi jioni...usafiri utakuwepo.Source:Gari la matangazo.
Watasombwa watu toka magu,kwimba, misungwi na geita... Wakati anautubia mwanza mjini, ngoja tuone kesho magari ya king msukuma yatakula trip balah.
hana jipya huyo!
Jk siyo mbowe anayeropoka hovyo na kuleta fujo bungeni.Namuomba azungumze kama Rais na sio mipasho na kuzodoana!!
Hakuna ubaya wowote kuwapa usafiri wapenzi wa Kikwete.Usafiri wa nini tena? Kwanini CCM na viongozi wetu wa serikali hatujiamini kabisa?