Kikwete kuendelea ku-enjoy US Relations.

Indume Yene

Platinum Member
Mar 17, 2008
2,950
711
Kuna mnavyooelewa, sasa hivi nchi ya Marekani inajiandaa na uchaguzi mkuu unaowakutanisha wagombea wawili ambao huenda wakawa na mtazamo tofauti katika foreign policy. Wagombea hao ni Barack Obama wa Democrats na John Mccain wa Republican.
Rais J. Kikwete amekuwa aki-enjoy relations na Rais wa Marekani anayemaliza muda wake G.W. Bush. JK amekuwa akifanya ziara za mara kwa mara nchini Marekani kuliko hata mikoa mingine nchini Tanzania. Kuna mikoa mingine haijawahi kupata bahati ya kutembelewa na JK tangu awe Prezidaa e.g Mbeya.........

Matokeo ya uchaguzi Mkuu nchini Marekani utaleta utawala mpya pamoja na sera mpya katika nchi hiyo. Swali hapa, je Rais Kikwete ataendelea kuwa na mahusiano ya karibu na utawala wa nchi ya Marekani?
Karibu kujadili........
 
Akishinda Obama, JK hawezi kuenjoy kitu kwa sababu Obama wants to treat Africans as equal and expects them to be responsible na wasitegemee handout. Huyu Jaluo Jeuri atakuwa mkali sana katika kutoa misaada hasa kwa Afrika maana hana sababu za kutuonea huruma, we have to pull ourselves up by our bootstraps. Priority ya Obama alishasema is Americans. GWB alikuwa anatafuta legacy na alitaka kujionyesha as caring, unafikiri hiyo good relations ni zaidi ya few millions? Huyu Rais Kisura alie tuuuu...
 
Nakumbuka Mobutu alivyokuwa kipenzi kikubwa cha serikali mbali mbali za Marekani wakati kule kwao alikuwa ni fisadi, muuaji na dikteta mkubwa kabisa.
 
Wamarekani hawana permanent friends but permanent interests. Itategemeana na tafsiri ya regime mpya kuhusu hizo permanent interests. Ilipofrika wakati wa kumtosa Mobutu au Shah of Iran hawakufikiria mara mbili.
 
Back
Top Bottom