Elections 2010 Kikwete kaishiwa sera ahusisha biblia na quran katika kampeni

ndio maana wakafanya mpango watu wengi wasipige kura kupanga siku ya uchaguzi kuwa siku ya ibada jumapili, supported na media, usalama wa taifa, jeshi, wasomi, wakulima, wafanyakzazi, na kila raia anaeitakia mema nchi hii, hatuwezi kuendelea kunyonywa enough is enough

Kaka katika hili la kupanga siku ya uchaguzi kuwa jumapili wala tusiwalaumu CCM, kwani sio wao waliopanga hili ni NEC na wala haikuanza Mwaka huu tangu mimi nimeanza kupiga kura kwa mara ya kwanza miaka karibu 20 iliyopita uchaguzi ulifanyika jumapili. Na kwenye red hapo sikubaliani nawe ni usalama wa taifa upi na jeshi lipi wanaounga mkono slaa, usiniambie ni jeshi hilihili la Jenerali Shimbo!
 
kwa suala la udini kikwete hawezi kuwa anatapatapa, hakuna kati yetu atakayesalimika endapo udini utaenea miongoni mwetu. Udini ukiwa katika hatua yake ya juu kabisa unaleta vita ya kidini ambayo kwa kawaida huanza kwa maneno. Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpe, Nampa dole kikwete kwa kukemea udini tena hadharani. Udini ukikomaa hata hapa jamiiforums tutawasiliana na kuunga mkono hoja kwa kuangalia dini ya mtu. Tuache ushabiki wa kisiasa tupige vita udini kwa nguvu zetu zote na anaekemea jambo hilo aungwe mkono bila kujali itikadi zetu za kisiasa.


Kaka fikra pevu a.k.a fikra finyu yaelekea hata somo la "kumbukumbu" tu kwako ni mzigo. wakati watu wanapigia debe mahakama ya kadhi ulisikia akikemea? ni nini kinachomsumkuma kuongelea sasa jambo hilo kama si kuvutia kura za wanaodanganyika?
 
kwa suala la udini kikwete hawezi kuwa anatapatapa, hakuna kati yetu atakayesalimika endapo udini utaenea miongoni mwetu. Udini ukiwa katika hatua yake ya juu kabisa unaleta vita ya kidini ambayo kwa kawaida huanza kwa maneno. Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpe, Nampa dole kikwete kwa kukemea udini tena hadharani. Udini ukikomaa hata hapa jamiiforums tutawasiliana na kuunga mkono hoja kwa kuangalia dini ya mtu. Tuache ushabiki wa kisiasa tupige vita udini kwa nguvu zetu zote na anaekemea jambo hilo aungwe mkono bila kujali itikadi zetu za kisiasa.


Kaka fikra pevu a.k.a fikra finyu yaelekea hata somo la "kumbukumbu" tu kwako ni mzigo. wakati watu wanapigia debe mahakama ya kadhi ulisikia akikemea? ni nini kinachomsumkuma kuongelea sasa jambo hilo kama si kuvutia kura za wanaodanganyika? read between the lines. jifunze kufikiri sio kukumbuka tu!!
 
Tulijua MAPEMA kwamba JK na CCM hawatakuwa na sera ndio maana wakasusia midahalo ya uchaguzi, ndio maana wakavamia maisha binafsi ya dr.slaa, ndio maana wakafanya mpango wanafunzi wasipige kura, ndio maana wakafanya mpango watu wengi wasipige kura kupanga siku ya uchaguzi kuwa siku ya ibada jumapili, ndio maana wakaanzisha hoja ya kumwaga damu kupitia jeshi letu, ndio maana wakatumia propaganda na njaaa za watafiti uchwara na njaaaaaaaaaa zao kubali maoni ya utafiti, ndio maana wanahangaika jinsi ya kuiba kura, ndio maana wanaweweseka sana, chama kilichoko madarakani siku zote hujivunia mema kilichowatendea wananchi na siyo propaganda na uzushi, mabango kila kona, na matumizi mabaya ya mali ya umma kwa kampeni za chama, kwahiyo mwanajamii forum usishangae wamekamatika -Dr.Slaaa moto wake unatisha sana amewapanga vijana wake vilivyo, hawana woga, hawahongeki, hawatishiki, wanasonga mbele, akina sugu, akina zito, akina mnyika, akina waitara, akina godbless lema, akina mrema vunjo, akina mdee, akina wanje, akina profesa bukombe na wengine wengi na kundi lote hili liko fully supported na media, usalama wa taifa, jeshi, wasomi, wakulima, wafanyakzazi, na kila raia anaeitakia mema nchi hii, hatuwezi kuendelea kunyonywa enough is enough


Well said DENYO ................PIPI JOJO....ulitizama chombo kipi cha habari tena.......ukiweza jibu hilo tutajua kuwa ni propaganda au la?
 
Apeleke majini na ulinzi wa giza (wa shehe yahya) kule bagamoyo.... tena akome kabisa kuleta udini kwenye siasa za Tanzania.
 
kikwete mdini mkubwa anapigia debe uislamu dini yake kwa kusababisha hasara kwa taifa kutukia raslimali za taifa kujadili mambo ya mahakama ya kadhi na kuyaweka kwenye ilani yake na kuipigia kampeni...........huyu ndiye kikwete mdini kwa vitendo
 
Kaka fikra pevu a.k.a fikra finyu yaelekea hata somo la "kumbukumbu" tu kwako ni mzigo. wakati watu wanapigia debe mahakama ya kadhi ulisikia akikemea? ni nini kinachomsumkuma kuongelea sasa jambo hilo kama si kuvutia kura za wanaodanganyika? read between the lines. jifunze kufikiri sio kukumbuka tu!!

Kimsingi hiyo msg aliilenga kwa wananchi wa Tunduru Kaskazini ambapo mgombea wa CCM anapumulia mashine kutokana na nguvu kubwa waliyonayo CUF na mgombea wao, ikizingatiwa pia kuwa mgombea wa CCM ni Mkristo ilhali wananchi wengi wa huko ni Waislamu.

Hoja yake ilikuwa uchaguzi usiwe juu ya Biblia wala Quran, bali ni juu za Ilani za vyama vinavyoshindana, hilo ni jimbo pekee ambalo CCM inaweza kulipoteza katika mkoa wa Ruvuma.
 
nasikitika kwamba tumaini lake shehe yahya afya yake ni mgogoro, manake ndiye aliyesema atamlinda kwa ulinzi usioonekana, sasa siku shehe yahya akifariki sijui rais wetu ulinzi ataupata wapi...Yesu alisema jipeni moyo, mimi nimeushinda ulimwengu, mkuu wa ulimwengu huu amekwisha kuhukumiwa naye hana nguvu kwangu(Yesu), tumepewa mamlaka ya kukanyaga nyoka na nge na nguvu zote za shetani wala hakuna kitakachotudhuru, Neno la Mungu linasema, utamkanyaga simba na nyoka, mwanasimba na joka utawaseta kw amiguuu...pale wengine wanapotegemea magari, wengine wanapotegemea farasi, sisi tutaliitia Jina la Bwana Mungu wa majesho...yeye hashindwi..pale wengine wanapotegemea uchawi, pale wengine wanapotegemea waganga na wasoma nyota, sisi tutamtegemea Mungu wetu aliye Hai...

Utukufu na shukrani ni zake yeye milele na milele, heshima na dhama ni zake yeye Mungu wetu, yeye hatatuacha hata tukajaribiwa kupita tuwezevyo, maana ktk kila jaribu atatufanyia mlango wa kutokea...NAWATIA MOYO WOTE WANAOPITA KATIKA MAZINGIRA MAGUMU, MUNGU ANAKUONA NA ANAANGALIA JICHO LAKO UTAWEKA WAPI, UKIWEKA KWAKE TU ATAKUSAIDIA, UKIWEKA KWA WAGANGA NA WACHAWI, HAUTAMWONA MUNGU.

nchi yetu Mungu hayupo, pamoja na kwamba watu wake baadhi wana Mungu. nchi yetu inaongozwa na wachawi na waganga wa kienyeji, ndio maan aviongozi na kila mtu utaona anaenda kwa mganga wa kienyeji for everything kuanzia biashara hadi uongozi/cheo...however, wale ambao hawatamwinamia shetani kumsujudu, ndio watakaomwona Mungu. mwenye sikio la kusikilia na asikie..
 
Back
Top Bottom