Kikwete kaishiwa sera ahusisha biblia na quran katika kampeni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kikwete kaishiwa sera ahusisha biblia na quran katika kampeni

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Lu-ma-ga, Oct 13, 2010.

 1. Lu-ma-ga

  Lu-ma-ga JF-Expert Member

  #1
  Oct 13, 2010
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 2,849
  Likes Received: 474
  Trophy Points: 180
  Sasa nidhahiri kabisa CCM imeishiwa cha kuwaeleza wapiga kura ili kuwashawishi badala yake Kikwete ameanza kurukia kuhubiri matumizi ya udini,ktk kampeni

  Tukumbuke kabla ya hili alivituhumu vyama vya upinzani hasa chadema kuwa wanahubiri kumwaga damu, hoja yake haikupokelewa kama alivyotarajia kwa wapiga kura badala yake waliishia kumlaum kuwa chama chake ndiyo kitasababisha kumwaga damu.Utabiri wa wapiga kura umekuwa kweli kwani sasa matukio ya kumwaga damu yanaanza kuwa ya kawida huku chanzo kikiwa CCM.
  Jana akiwa songea amerukia mada ya udini tena akituhumu CUF lakini tunaamini wapiga kura wataipuuza kwani anaonekana kubeba hilo kama ajenda na pia tusishangae kuja kuona CCM wanajikita kutumia udini hali ambayo imeanza kujitokeza kwaMAKAMBA kufanya hivyo Shinyanga kwa kuwatuhumu maaskofu kuwa wanajihusisha.
   
 2. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #2
  Oct 13, 2010
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  kamaliza kuahidi kununua meli na kujenga viwanja vya ndege sasa naona kaamua kuropoka...in simpler terms ni kuwa hana cha kuwaambia watu na mwaka huu ndo atalijua jini anadhani watu wanachangua rais kwa kuangalia sura
   
 3. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #3
  Oct 13, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,427
  Likes Received: 22,345
  Trophy Points: 280
  Ndio ushauri alioupata kwa mshauri wake wa kampeni na mchafua hewa jamii forums, malaria sugu
   
 4. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #4
  Oct 13, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,767
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  Unajua mti mkubwa unapodondoka KISHINDO lazima kiwe kikubwa!pia WATANZANIA TUSIOGOPE KISHINDO!
   
 5. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #5
  Oct 13, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,767
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  hee umenikumbusha SITAKI KURA ZA WAFANYAKAZI! siku ileee alifuka kweli!
   
 6. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #6
  Oct 13, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,959
  Likes Received: 420,622
  Trophy Points: 280
  Sisi tunamwomba JK na CCM yake wasome alama za wakati na wakubali yaishe kwa kumkabidhi Dr. Slaa na chadema nchi nao wajaribu watakachoweza. Vile vile CCM na haswa JK waelewe kwenye siasa za upinzani bado CCM itakuwa na mchango wa kujenga nchi yetu na kujifunza nini maana ya msamiati wa utawala bora.,
   
 7. F

  Fikra Pevu Senior Member

  #7
  Oct 13, 2010
  Joined: Oct 13, 2010
  Messages: 125
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Wahenga walisema 'Mfa maji haachi kutapatapa...'
  Wala sishangai kuona anavyotapatapa..
   
 8. PAS

  PAS JF-Expert Member

  #8
  Oct 13, 2010
  Joined: May 3, 2010
  Messages: 452
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  :hand::hand::hand::hand:KATAA HIYO..
  MAJI YAMEMFIKA SHINGONI
   
 9. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #9
  Oct 13, 2010
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Hivi kuna haja ya kuahidi mara mbili (2005 na 2010) kwamba utawaletea watu wale wale meli? You can't cheat people all the time!
   
 10. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #10
  Oct 13, 2010
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Hivi kuna haja ya kuahidi mara mbili (2005 na 2010) kwamba utawaletea watu wale wale meli? You can't cheat people all the time!
   
 11. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #11
  Oct 13, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,767
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  Hatakama ataleta kweli aende zake huko!
   
 12. d

  dotto JF-Expert Member

  #12
  Oct 13, 2010
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 1,720
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Tusubiri anguko la mtu mzima!!
   
 13. Joel

  Joel JF-Expert Member

  #13
  Oct 13, 2010
  Joined: Sep 1, 2007
  Messages: 908
  Likes Received: 259
  Trophy Points: 80
  tatizo la huyu mtu hana jipya ndio maana anaanza kuleta issue a udini ili awavuruge watz
   
 14. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #14
  Oct 13, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  .

  Katika yote nitasema lakini kama Kikwete kakemea udini ni jambo jema sana hata kama kwa baadhi yetu sio wafuasi wa CCM.
   
 15. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #15
  Oct 13, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  kwa suala la udini kikwete hawezi kuwa anatapatapa, hakuna kati yetu atakayesalimika endapo udini utaenea miongoni mwetu. Udini ukiwa katika hatua yake ya juu kabisa unaleta vita ya kidini ambayo kwa kawaida huanza kwa maneno. Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpe, Nampa dole kikwete kwa kukemea udini tena hadharani. Udini ukikomaa hata hapa jamiiforums tutawasiliana na kuunga mkono hoja kwa kuangalia dini ya mtu. Tuache ushabiki wa kisiasa tupige vita udini kwa nguvu zetu zote na anaekemea jambo hilo aungwe mkono bila kujali itikadi zetu za kisiasa.
   
 16. F

  Fikra Pevu Senior Member

  #16
  Oct 13, 2010
  Joined: Oct 13, 2010
  Messages: 125
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  kuna tofauti kati ya kukemea udini kwa maslahi ya Taifa na kukemea udini kama sehemu ya propaganda.
   
 17. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #17
  Oct 13, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  Kwa Rais wa dini moja kushika kitabu cha dini nyingine ni hatua ya juu ya uzalendo katika suala zima la kuweka pamoja mshikamano wa kidini.
   
 18. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #18
  Oct 13, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135

  Unajuaje kuwa ni propaganda na si kukemea? Yeye alisikika kwenye vyombo vya habari na kumnukuu akikemea udini.
   
 19. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #19
  Oct 13, 2010
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,659
  Likes Received: 4,755
  Trophy Points: 280
  Kikwete hana sera ndiyo maana kakimbia midahalo , hana uwezo wa kujenga hoja yeye ni mtaalamu wa mipasho tuuuuuuuuuuuuu. Angalieni timu yake ya kampeni ,rusha roho, ze comedi,bongo fleva na kila aina ya usaniii.
   
 20. D

  DENYO JF-Expert Member

  #20
  Oct 13, 2010
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 699
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Tulijua MAPEMA kwamba JK na CCM hawatakuwa na sera ndio maana wakasusia midahalo ya uchaguzi, ndio maana wakavamia maisha binafsi ya dr.slaa, ndio maana wakafanya mpango wanafunzi wasipige kura, ndio maana wakafanya mpango watu wengi wasipige kura kupanga siku ya uchaguzi kuwa siku ya ibada jumapili, ndio maana wakaanzisha hoja ya kumwaga damu kupitia jeshi letu, ndio maana wakatumia propaganda na njaaa za watafiti uchwara na njaaaaaaaaaa zao kubali maoni ya utafiti, ndio maana wanahangaika jinsi ya kuiba kura, ndio maana wanaweweseka sana, chama kilichoko madarakani siku zote hujivunia mema kilichowatendea wananchi na siyo propaganda na uzushi, mabango kila kona, na matumizi mabaya ya mali ya umma kwa kampeni za chama, kwahiyo mwanajamii forum usishangae wamekamatika -Dr.Slaaa moto wake unatisha sana amewapanga vijana wake vilivyo, hawana woga, hawahongeki, hawatishiki, wanasonga mbele, akina sugu, akina zito, akina mnyika, akina waitara, akina godbless lema, akina mrema vunjo, akina mdee, akina wanje, akina profesa bukombe na wengine wengi na kundi lote hili liko fully supported na media, usalama wa taifa, jeshi, wasomi, wakulima, wafanyakzazi, na kila raia anaeitakia mema nchi hii, hatuwezi kuendelea kunyonywa enough is enough
   
Loading...