FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 92,881
- 109,192
Jibu hoja kwa hoja na sio kuleta mipasho!
Hebu eleza uongo ni upi hapo?
Kwanini tusiamini wewe mchangiaji ndio muongo?
Sometimes bora kukaa kimya kuliko kuleja hoja dhaifu kujibu hoja nzito.
Wote ni uongo, majungu, ufataani, uzandik na uzushi. Kuna hoja hapo?