Kikwete Jiuzulu uinusuru nchi...

Mkuu, hakuna kipya kwenye hoja hii zaidi ni kuendeleza mipasho ya msanii Mbowe na timu yake ya Kinondoni Jazz Band
utaonaje kipya wakati uko kazini ,kazi ambayo haina bonus mwaka unaisha bado book 7 idadi mumeshapungua wazungu wa unga washawastukia
 
Yote yaliyoelezwa na mleta mada ni ya kweli labda walevi na vipofu tu ndiyo watayapinga. Mh. Rais ni vema ajitazame kama anatembea katika kiapo chake. Watanzania walimwamini lakini ameshindwa kuwatunzia imani hiyo. Watanzania wasipopata nafasi ya kumhoji, kama siyo Mungu basi hata Shetani atamhoji siku ya mwisho.
 
Watu mengine ni wapuuz aisee mambo aliyoandika mtoa mada yako wazi kabisa haihitaji akil ya ziada kabisa kuyaelewa. Tatizo letu tunatanguliza uCCM na uCHADEMA katika kujadili kila jambo linalohusu utendaji serikali badala ya utaifa kwanza. Toa hoja kwa nini asijiuzulu kutokana na sababu hizo na sio ohh! Bavicha mara dk.slaa, kwani mtoa mada kasema rais ajiuzulu na nafasi ichukuliwe na mtu kutoka chadema? Anaweza yoyote kutoka chama chochote ila huyu wa sasa ni dhaifu.
 
Naunga mkono hoja, atakayepinga hii hoja lazima atakuwa na upungufu wa akili au anafaidika moja kwa moja na uvinjifu huu wa katiba na matumizi yasiyoyalizima ya kikwete

Kama ni uvunjifu wa katiba mbona Dj mbowe kavunja katiba kwa kuondoa kipengele vja ukomo wa madaraka ya uongozi ma hajajiuzuru au ndo mtawala wa maisha
 
Mimi nafikiri humu ndani jf kuna baadhi ya watu ni mandingwi wa akili hivi mkeo nyumbani akiunguza chakula wewe baba ufukuzwe na watoto wako kwa kumuoa mama asiejua kupika au unatakiwa umuambie alivyounguza mkewe na amrekebishe tuache kuwa na roho kubwa wivu usio na tija
 
Watu mengine ni wapuuz aisee mambo aliyoandika mtoa mada yako wazi kabisa haihitaji akil ya ziada kabisa kuyaelewa. Tatizo letu tunatanguliza uCCM na uCHADEMA katika kujadili kila jambo linalohusu utendaji serikali badala ya utaifa kwanza. Toa hoja kwa nini asijiuzulu kutokana na sababu hizo na sio ohh! Bavicha mara dk.slaa, kwani mtoa mada kasema rais ajiuzulu na nafasi ichukuliwe na mtu kutoka chadema? Anaweza yoyote kutoka chama chochote ila huyu wa sasa ni dhaifu.
Mkuu,
hili ni tatizo kubwa na inaonesha wazi kwamba hata ugoigoi wa serikali unachangiwwa na upumbavu wa mashabiki wake. Yaanni nchi inakwenda mrama lakini bado wapo watu wanaoshika msimamo kwamba hakuna tatizo.

Mfumuko wa bei ni TANZI kwa wananchi wengi, bado kuna mawaziri wanatmbea vifua mbele wakiwahukumu Watanzania kwamba watabaki kuuza nyanya na ubuyu huku akijua wazi kabisa YEYE anapswa kuwawezesha watoke kwenye level hiyo kiuchumi na kiuwekezaji.

Bado Watanzania wenzetu wanaona tunamwonea rais kwa kumhoji
 
Mimi nafikiri humu ndani jf kuna baadhi ya watu ni mandingwi wa akili hivi mkeo nyumbani akiunguza chakula wewe baba ufukuzwe na watoto wako kwa kumuoa mama asiejua kupika au unatakiwa umuambie alivyounguza mkewe na amrekebishe tuache kuwa na roho kubwa wivu usio na tija
Mkuu, rudia mada hapo juu kisha ielewe kabla hujachangia. Urais siyo jambo la kifamilia kama mlivyodanganywa.
Rais haongozi familia anatawala nchi na taasisi zake. Ifike mahala uache UDINGWI wa akili yako. Pevuka
 
Wote ni uongo, majungu, ufataani, uzandik na uzushi. Kuna hoja hapo?
Umri ni idadi ya miaka lakini hekima ni kipaji. Una idadi kubwa ya miaka na bado haijakuzawadia ukuaji wa uwiano kiakili
PEVUKA
 
Mada inaeleweka na mleta mada amejitahidi kuweka kila kitu wazi kiasi kwamba hata hao wanaojifanya kupinga wanaujua ukweli huo na wanaukubali ila hawana cha kufanya zaidi ya kujitoa ufahamu ili tu mkono uende kinywani, lakini ukweli wanaujua na wanaukubali..
 
Msanii Tutolee usanii wako hapa,umeshindwa nini kuwaambia wale viongozi wako wanaong'ang'ania madaraka miaka nenda miaka Rudi ili waendelee kuitafuna ruzuku ya hiyo saccos yenu,
Umeshindwa nini kumwambia babu arudishe hela aliyoiba zaidi ya million 140 akamjengea nyumba kimada wake bunju nakutelekeza familia
Umeshindwa nini kumwambia dj aache kutumia ruzuku kukarabati Ile club yakuwauza dada zetu
Umeshindwa nini kuwahoji viongozi wako kwanini ruzuku haifiki mikoani na wilayani
Umeshindwa nini kuwahoji viongozi wako fedha Anazotoa sobodo huwa wanazipeleka wapi ukiacha mbali zile alizowapa wajengee Chuo chakufundisha uongozi kwa wanachama wao
Umeshindwa nini kuwahoji viongozi wako kwanini mpaka leo wameshindwa kujenga jengo la makao makuu licha yakupata ruzuku Kila mwezi zaidi ya million 300 toka mwaka 2010 ,kawahoji kuna agenda gani iliyopo Kati Yao na mmiliki wa hiyo nyumba hapo ufipa(10%)
Umeshindwa nini kuwahoji viongozi wako kwanini wanaogopa kufanya uchaguzi wa ndani kama kweli hicho ni Chama cha demokrasia
Kwaleo hayo yanatosha maana najua hawana majibu yake,
Nenda kawahoji kwanza hayo then ndio uje hapa uandike huo usanii wako.
 
Last edited by a moderator:
buku 7 kazini mtoa mada amesema ukweli na ukweli huu unawauma,magamba ukiona yanavyoweweseka humu utafikiri yameguswa nyeti zao.!
 
Tutolee usanii wako hapa,umeshindwa nini kuwaambia wale viongozi wako wanaong'ang'ania madaraka miaka nenda miaka Rudi ili waendelee kuitafuna ruzuku ya hiyo saccos yenu,
Umeshindwa nini kumwambia babu arudishe hela aliyoiba zaidi ya million 140 akamjengea nyumba kimada wake bunju nakutelekeza familia
Umeshindwa nini kumwambia dj aache kutumia ruzuku kukarabati Ile club yakuwauza dada zetu
Umeshindwa nini kuwahoji viongozi wako kwanini ruzuku haifiki mikoani na wilayani
Umeshindwa nini kuwahoji viongozi wako fedha Anazotoa sobodo huwa wanazipeleka wapi ukiacha mbali zile alizowapa wajengee Chuo chakufundisha uongozi kwa wanachama wao
Umeshindwa nini kuwahoji viongozi wako kwanini mpaka leo wameshindwa kujenga jengo la makao makuu licha yakupata ruzuku Kila mwezi zaidi ya million 300 toka mwaka 2010 ,kawahoji kuna agenda gani iliyopo Kati Yao na mmiliki wa hiyo nyumba hapo ufipa(10%)
Umeshindwa nini kuwahoji viongozi wako kwanini wanaogopa kufanya uchaguzi wa ndani kama kweli hicho ni Chama cha demokrasia
Kwaleo hayo yanatosha maana najua hawana majibu yake,
Nenda kawahoji kwanza hayo then ndio uje hapa uandike huo usanii wako.
Pevuka.
Sina chama nina Utanzania wangu
 
Hahahaha dada wa matukio unadili gani tena unataka kuwapiga magamba.Maana umevaa gamba wamekupa ada ya Udom! Leo unaponda mfumo wenu!Sasa hivi labda uende 'Motomotomoto!!!! CCM iungue! Watu wameshashtuka.

Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
 
  • Thanks
Reactions: Paw
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom