Lizaboni
JF-Expert Member
- Feb 21, 2013
- 33,901
- 20,416
Mkuu, hakuna kipya kwenye hoja hii zaidi ni kuendeleza mipasho ya msanii Mbowe na timu yake ya Kinondoni Jazz BandKwa namna mlivyopost majibu kwa haraka ni wazi mlisoma heading tu na kuamua kujibu thread nzima.
Hii post haihusiani na CHADEMA wala kundi lolote, inahusiana na Maongozi ya nchi na udhaifu wa mamlaka ktk kutimiza wajibu wake.
Leteni hoja KWANINI ASIJIUZULU?