Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,001
- 288,261
Karibu Mgeni , yaani unataka Jk aongeze Ubabe siyo ( maana ubabe tayari upo ) , Basi sawa , lakini ukumbuke kuwa kikinuka huwa hakiangalii rangi ya Fulana uliyovaa , ajaribu aone !
Kwakweli mleta uzi ni mzalendo kweikweli.Ni sahihi kabisa raisi amewalea mafisadi mpaka kesho.Lakini pia chadema inaaminisha kua ni magaidi kwanini Dr slaa atamke kua Nchi hii haita tawalika tena.Tuseme kweli angekua yeye Rais angevumilia kauli hii? Au haya yakung'oana kucha na meno bila ganzi pamoja na migomo ya wafanyakazi asinge husianisha na kauli hii?
ahaaahaaahaahaaa ahaaahaaahaahaaa ahaaahaaahaahaaa ahaaahaaahaahaaa
mbavu zangu jamani. Umeenda lini kwa museven mwalimu?? Miaka 4?? Dunia ina mambo.
jf. acheni kupost kwa hisia.mkuu nipo ug na nimeoa huku familia ipo tz
mimi sio mbunge wa Kigoma mjini sidhani kama kuna kitu kimekuaminisha hivyo.
mimi sio mbunge wa Kigoma mjini sidhani kama kuna kitu kimekuaminisha hivyo.
mnaoiozesha nchi ni ninyi. Mnaotafuta umaarufu kwa DAMU YA WATU.
adui wa watanzania ni Chadema aka magaidi aka maandamano aka mikutano ya kisiasa isiyo na mwisho aka. wapigaji
mimi sitaki kujadili ukabila badala ya hoja ya msingi. Ukabila ni mission and vission yenu. Sitaki kuiwashangaa kwa hoja zenu.
Shehe ILUNGA kakamatwa? LINI mkuu?
Nimekuwa msomaji mzuri sana wa mijadala mbalimbali hapa jamvini. Labla kutokana na sababu binafsi nilishindwa kupata maamuzi ya kuwa pamoja na kujadili hatma ya taifa letu.
Nimekuwa nikifuatili kwa makini sana juu ya maoni, ushauri, kejeli, matusi na dhihaka kwa Rais kikwete na serikali yake.
Aidha nimeshindwa kuamini kama uhuru wa maoni unaweza kutumiwa kwa "busara" ya namna hii.
Naandika leo kwa mara ya kwanza hapa JAMIIFORUMS "kumkumbusha" rais wangu kipenzi kuwa yeye ndiye adui kwa taifa hili kwa kufuga maadui.
Maadui wa taifa hili ni hawa wafuatao.
Mafisadi.
Rais wangu umewaonea haya hawa watu hawa. Unawajua kwa majina ila hekina, busara na upole wako wameutumia vibaya. Leo wamekaa pembeni wakishuhudia unavyotukanwa.
CHADEMA, hawa watu wanataka kuaminisha watanzania kuwa "wakiingia madarakani basi matatizo yote kwisha". Wanajenga chuki badala ya kukosoa na kuishauri serikali. Wanawaaminisha watanzania kuwa "wanataka kuwapeleka peponi watanzania" iwapo watawachagua kuongoza nchi. Wanataka kuwaambia watanzania miaka 52 tangu uhuru CCM hawajafanya jambo lolote. Wameamua kuingia hadi ktk uvunjifu wa amani ili kutafuta umaarufu(cheap populality).
CHADEMA wameamua kuteka na kuua ili kuitupia Lawama CCM. Ichukiwe mbele ya wapenzi wake wanaoiamini na bado wanaipenda na kuiamini. Lakini rais Kikwete amewakalia kimya "watu hawa".
Ndo maana nachelea kusema rais wangu wewe mwenyewe ndo adui. Unajiua mwenyewe kwa kuacha watu wawe na uhuru holela wa kutoa maoni yao.
Hali hii imesambaa hadi kwenye "mass media". Unakuta wanahabari nguli kabisa anakosoa badala ya kuhitimisha kwa mapendekezo ya suluhu anaishia kukosoa na kulaumu na kupiga vijembe na matusi rejareja.
Rais wangu, tazama mfano wa mwenzako Y. Museven, amewazuia "waandishi uchwara" kuandika au kuripoti kamja hana shahada ya habari. Wewe umewaacha hadi wenye astashahada wakuzomee kwenye "vigazeti".
Kiiza besige alipotaka kuwamobilize watu kama wafanyavyo CHADEMA ili kuvunja amani na kuchochea amani "akasimamishwa kuleta fujo".
Rais wangu mpendwa wewe umeamua kwa maksudi kuwa mpole na wanakuonea kwa kuwa wanajua kuwa umeamua "kuwapotezea".
Ushauri wangu kwako kuwa hujachelewa. Amua moja, kuwa makini na wanaohatarisha amani ya taifa. Ama sivyo nitaamini HUNA ADUI WEWE MWENYEWE NDO ADUI kwa kutoamua kukomesha hali hii.
Tunaogopa kung'olewa kucha na meno bila ganzi.
umefikiria kabla ya kuposti?
Rais Kikwete ni mtu mmoja msikivu na mpole wewe unadhani mtu kama Dr Slaa angekuwa Rais si angefunga watu wengi angalia mfano toka angie Chadema kaishafukuza wanachama zaidi ya 100.
mkuu Ritz,
mheshimiwa rais amekuwa mpole sana. Hulka hiyo ya upole CHADEMA wameitumia kufanya vurugu na kuhatarisha amani ya nchi.
Nasikia HARUFU kali ya UDINI... Ni ushabiki.. Ni udini tu... Inaelekea mnafundishwa kuwa hii ni serikali ya dini yenu iteteeni kwa nguvu zote... Hizo si hoja za kisiasa ni UDINI tu!!
Hii ni SAUTI ya kinana, mbona tibaijuka amekuja na real ID we unakuja na fake ID, grow up mr katibu mkuu, tupe maoni ya matokeo ya vitongoji pale morogoro baada ya wewe na watoto wenzio kuitukana CHADEMA.
adui wa watanzania ni Chadema aka magaidi aka maandamano aka mikutano ya kisiasa isiyo na mwisho aka. wapigaji