Nikuulize wewe mleta mada,hivi wakati mnaazisha vyama vingi malengo hasa yalikuwa nini?
Na kama lengo la chama cha siasa ni kushika Dola,chadema unataka washike visusio?
Mnaamini kabisa kwa mbinu zenu za kuua watu na kusingizia chadema hyo dhambi mtaikimbia na kurudisha roho za watu baada ya kufanikiwa malengo yenu?
je unaweza kuniambia kwa nini chama cha wananch<cuf> kiliishiwa nguvu bara? pia unaamini kama cuf ilishinda Urais zanzibar?
Je cdm ikifa leo utapiga magoti na kushukuru kwa mungu kuwa oooh baba asante cdm imekufa sasa tutapumzika,ama unataka kiishiwe nguvu tu kiwa kama cuf?
Kwa hayo machache basi naomba ujue kabisa hakuna jamii nyingine hapa Tanzania zaidi ya hii iliyopo na yote inajitambua vizuri sana japo kuna wale wanaonufaika na serikali moja wapo ww ndio mnaotaka kuua upinzani ili muendelee kufaidi utajiri wa nchi hii peke yenu,kiongozi wako kishaligundia hili ndio maana hawezi fanya unavyotaka wewe,amen