"Nikumbushe hili soko lipo wapi tena?"Jana nimesikiliza taarifa ya habari channel ten na kuona wafanya biashara wa soko linaloitwa la sokom la kimataifa la samaki Feri eti halina maji na wakati huo huo jiji wanakusanya kodi kwenda mbele.
Najiuliza JK hata hili jambo ambalo lipo karibu kabisa na ofisi na makazi yake ya uraisi yana mshinda?atawezaje zile ahadi zaidi ya 100 alizotoa?
Wa Japan walilitengeneza kwa msaada tunahitaji tena msaada wa kulitunza?tuache kujifedhehesha jamani
Yaani hata kukosekana maji soko la samaki tunamwelekeza zigo JK? Hapana,kwann c waziri husika? ikiwa tumeamua kuruka Mkurugenzi wa jiji,na uongozi mzima wa jiji la dar?
Bruker punguza mukhari, hivi ukiambiwa utaambatana naye marekani uwakilishe kikundi cha jamii then ufikie five star hotel utakataa? Nchi ni kubwa yeye hawezi kutatua matatizo ya watu wote -- mwacheni amalizie muda wake kwa amani.Jana nimesikiliza taarifa ya habari channel ten na kuona wafanya biashara wa soko linaloitwa la sokom la kimataifa la samaki Feri eti halina maji na wakati huo huo jiji wanakusanya kodi kwenda mbele.
Najiuliza JK hata hili jambo ambalo lipo karibu kabisa na ofisi na makazi yake ya uraisi yana mshinda?atawezaje zile ahadi zaidi ya 100 alizotoa?
Wa Japan walilitengeneza kwa msaada tunahitaji tena msaada wa kulitunza?tuache kujifedhehesha jamani
Bruker punguza mukhari, hivi ukiambiwa utaambatana naye marekani uwakilishe kikundi cha jamii then ufikie five star hotel utakataa? Nchi ni kubwa yeye hawezi kutatua matatizo ya watu wote -- mwacheni amalizie muda wake kwa amani.
Kama vitu viiwashinda marais waliopita miaka 50 iliyopita, yeye ataweza kwa miaka 10 tu?
Sitaki maswali please!!!.
Yaani hata kukosekana maji soko la samaki tunamwelekeza zigo JK? Hapana,kwann c waziri husika? ikiwa tumeamua kuruka Mkurugenzi wa jiji,na uongozi mzima wa jiji la dar?
Fuso sawa nchi ni kubwa hata anapotizamana na ofisi yake?harufu mbaya haisikii hata kidogo?
kwa upeo wako mdogo (au utahira wako) unafikiri kila kitu ni cha kulaumu kikwete. vitu kama hivi muulize meya wa jiji aka masaburi au jerry slaa kale kameya kwa manispaa ya ilala.Jana nimesikiliza taarifa ya habari channel ten na kuona wafanya biashara wa soko linaloitwa la sokom la kimataifa la samaki Feri eti halina maji na wakati huo huo jiji wanakusanya kodi kwenda mbele.