Ni jambo la kushukuru Jk amebakiza miezi kama 10 tu aondoke madarakani.Tumeona na kujifunza mengi kuhusu faida na hasara katika kuchagua kiongozi mkuu wa nchi.
I even wish CCM to go along with him.
Ahsante mungu kwa fadhila zako.
Hivi kumzushia uwongo kiasi hiki mheshimiwa Raisi wetu mpendwa, hujui kuwa ni dhambi kubwa?, au unafikiri Mungu hakuoni kwakuwa sisi wanadam wenzako hatukuoni hapo kwenye keyboaed yako? nakuhurumia unavyoteseka kwa chuki moyoni mwako, Pole sana!
Mkuu wewe unatisha unajua nnachowaza!!!
Hivi hukumsikia wewe Mkulu akisema amepona saratani?
Link Rais Kikwete asema amepona Saratani - BBC Swahili
mbona andiko lake ni fupi tu , haya mengine umetoa wapi ?
Ni jambo la kushukuru Jk amebakiza miezi kama 10 tu aondoke madarakani.Tumeona na kujifunza mengi kuhusu faida na hasara katika kuchagua kiongozi mkuu wa nchi.
I even wish CCM to go along with him.
Ahsante mungu kwa fadhila zako.
Tuna Rais mbovu, kwa mawazo ya baadhi yetu. Tunafurahi anakaribia kuondoka.Unaweza kushukuru JK anaondoka akaja rais mpya ambaye ni JK wa JK.
Tuna Rais mbovu, kwa mawazo ya baadhi yetu. Tunafurahi anakaribia kuondoka.
Hatujui anakuja nani, tusikitike?
Lowassas of Tanzania ndio kina nani?Sana tu.
Hasa kwa sababu the real "choice" is beteeen the Lowassas... of Tanzania.
WE WISH ANGEPATA MIAKA MINGINE KUMI
TUNAMHITAJI sana, amefanya kazi sana kuimarisha miundombinu kama mabarabara, madaraja, mahosipitali, mashule, mavyuo n.k. hakuna rais yeyote kabla yake aliyewahi kufanya aliyoyafanya Kikwete. Pili kuhusu kuuza rasilimali zetu, mkapa ni kinara (kama wewe ni wa ile dini ya escrow huwezi ona hili) kauza, NBC, Tanesco, na mashirika karibia yote ya umma tuyajuayo (kama hujui sema nikutajie), migodi mingi imeuzwa na mkapa na ndo muanzilishi wa sisi kupata 3% tu kwenye mapato hayo. lakini pia uongozi wake uligubikwa na kashifa nyingi ila hakukuwa na uhuru wa vyombo vya habari kama tuvionavyo kipindi hiki. kulikuwa na scandal kama za EPA, mwananchi gold, radar, ndege ya rais, meremeta, kujiuzia mgodi wa kiwira, kujianzishia benki iitwayo anaben, rushwa za kajengo BOT, alex and stewart na upuuzi mwingi ambao sina muda wa kuulist hapa.
Lowassas of Tanzania ndio kina nani?
Unajuaje Lowassa hatakuwa rais bora kuliko Kikwete?
...not 10 months to go but 10years..this is the scientifically proven overall survival from prostate cancer....or did you mean differently?...
Dada yako toka lini? Hunijuwi sikujuwi. Nikome.
Kwa hiyo umempima Lowassa kwa kigezo kimoja tu cha kuwa na hubris.Lowassa hatakuwa rais bora kuliko Kikwete kwa sababu ana hubris. Usishangae Lowassa akiwa rais Tanzania ikaingia kwenye vita ya kijinga na Malawi na kutugubika katika lindi lingine la umaskini lisilo na sababu ya msingi.
Ni jambo la kushukuru Jk amebakiza miezi kama 10 tu aondoke madarakani.Tumeona na kujifunza mengi kuhusu faida na hasara katika kuchagua kiongozi mkuu wa nchi.
I even wish CCM to go along with him.
Ahsante mungu kwa fadhila zako.