Katavi
Platinum Member
- Aug 31, 2009
- 42,099
- 12,920
Mze wa sumu vp?
Ha ha haaah.
Mze wa sumu vp?
Hii kauli inaonyesha jinsi Kikwete alivyoishiwa. Kwa matatizo yote tuliyo nayo hivi sasa Tanzania haihitaji Kiogozi wa umri bali kiongozi mwenye vision.Badala ya kujadili mageuzi ya kimfumo anajadili sura za watu
Yeye alikua na muonekano wa ujana akafanya nini ?Tena kwa kauli zake atawatia nuksi hata wagombea wenye haiba ya ujana
Reasoning capacity za aina hii tukianza kuzihoji tutaishia kuonekana tumemu-insult bure !
rais huyu ni mweupe sana upstairs...dah
Hii kauli inaonyesha jinsi Kikwete alivyoishiwa. Kwa matatizo yote tuliyo nayo hivi sasa Tanzania haihitaji Kiogozi wa umri bali kiongozi mwenye vision.
Jitambue mkuu membe anamiaka zaidi ya 60 naye kwako wewe ni kijana?Ana maanisha Membe, ili urais utoke kwake uende kwa shemeji...
Vipi wazee mbona mnalalama wanapotajwa vijana?rais huyu ni mweupe sana upstairs...dah
CHANZO:Mwananchi
MY TAKE:
Hiki kitakuwa kipimo kizuri sana cha ile dhana ya "zidumu fikra za mwenyekiti" kama tulivyoshuhidia kwenye Bunge Maakumu la Katiba
CC: waliotangaza nia ya kugombe uraisi kupitia CCM.
Ha ha ha ha,pole mzee ben nasikia ulikosa uongozi hata kwenye baraza la wazee la chama chako.He need to grow up !
CHANZO:Mwananchi
MY TAKE:
Hiki kitakuwa kipimo kizuri sana cha ile dhana ya "zidumu fikra za mwenyekiti" kama tulivyoshuhidia kwenye Bunge Maakumu la Katiba
CC: waliotangaza nia ya kugombe uraisi kupitia CCM.
Kwanza alianza na dhana ya "zamu ya mwanamke." Aliposhindwa kumuuza Asha Rose ndipo sasa anakuja na dhana ya ujana. Awaache Watanzania wajichagulie wenyewe. Marekani na ukongwe wake wote katika demokrasia hivi sasa wanamshupalia Hillary Clinton mwenye umri wa miaka 68. Uongozi si ujana. Ni weledi na uzoefu. Kama akionekana kijana mwenye weledi basi tumkubali, si kulazimisha.Jitambue mkuu membe anamiaka zaidi ya 60 naye kwako wewe ni kijana?
Ni Kwanini analazimishia tuchague VIJANA? Kwasababu wataficha Maovu yake Serikalini ?
Ukiangalia Mielekeo yake anayewaona kuwa Marais Vijana wote wanaMadosari na Ethical Complaints kibao...
Embu angalia kama BODI za Mashirika kuna Vijana kama JUMA PINTO... si tunataka kuangamiza TAIFA LETU?
Ubaguzi na chuki unaziona - ndio zitazidi na kushamiri nchini kwetu... Hawa VIJANA waliomadarakani kwa sasa ni OPPORTUNIST...
Msituulie NCHI JAMANI... UONGOZI ni MGUMU most of them FUNDS zao zinatoka ndani ya hii SERIKALI wao sio Intellectuals; sio interpreneurs; Just figure heads...
c.c Salary Slip
Lowass 61 na Membe 61; nani mzee kati ya hao? Mvi sio uzee!!!!