ulitaka akuzalishe ndo ujue kwamba kafanya la maana? barabara, maji, mashule, mavyuo, umeme, mahosipitali na mengine mengi hayakutoshi?Watanzania hatutaki kabisa rais dhaifu kutuongoza namna ya kupata rais bora. Tangu alipoingia ikulu hakuna kitu alichofanya kikaleta matokeo mazuri kwa hiyo tukiingia mkenge na kumsikiliza tuchague anayempenda yeye tumeumia!
Badala ya kujadili mageuzi ya kimfumo anajadili sura za watu
Yeye alikua na muonekano wa ujana akafanya nini ?Tena kwa kauli zake atawatia nuksi hata wagombea wenye haiba ya ujana
Reasoning capacity za aina hii tukianza kuzihoji tutaishia kuonekana tumemu-insult bure !
Amesema anayefafana na kijana kama yeye alivyokuwa wakati anagombea(miaka 55). Hapa haongelei umri bali mtu anavyo act.Hivi membe ni kijana???membe atakuwa mkubwa sna,alidumaa tu kwaajili ya shida alivyokuwa mdogo,ukitaka kujua ni mkubwa msogolee umuone na hilo domo lake
Yote hayo kwa hela za kukopa na kutuongezea deni la Taifa.ben ulitaka akuzalishe ndo ujue kwamba kafanya la maana? barabara, maji, mashule, mavyuo, umeme, mahosipitali na mengine mengi huvioni? hebu wakati mwengine muandike vitu vyenye uhalisia na sio porojo.
membe na lowassa wote wana miaka 60. born 1953. tumia akili. Kikwete miaka 64. born 1950. nadhani umenisoma.Ana maanisha Membe, ili urais utoke kwake uende kwa shemeji...
Lowass 61 na Membe 61; nani mzee kati ya hao? Mvi sio uzee!!!!
Yote hayo kwa hela za kukopa na kutuongezea deni la Taifa.
Mifuko ya jamii wameifilisi kwa kukopa kujenga chuo cha UDOM n.k matokeo yake sasa wanataka kumbebesha huo mzigo mfanyakazi anapostafu kwa kumdhulumu mafao yake ili mifuko isife jumla.
Wameshindwa kubuni vyanzo vya mapato na kukusanya kodi sasa wanatekeleza ahadi zao kwa hela za kukopa na mwisho wa siku mwananchi ndio anaeumia.
Bora hata Mkapa aliacha hela ya kutosha ila huyu wa sasa atatuachia madeni tu.
Kwanza alianza na dhana ya "zamu ya mwanamke." Aliposhindwa kumuuza Asha Rose ndipo sasa anakuja na dhana ya ujana. Awaache Watanzania wajichagulie wenyewe. Marekani na ukongwe wake wote katika demokrasia hivi sasa wanamshupalia Hillary Clinton mwenye umri wa miaka 68. Uongozi si ujana. Ni weledi na uzoefu. Kama akionekana kijana mwenye weledi basi tumkubali, si kulazimisha.